Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

I
Hivi huyo IT kwa nini asichukue hizo pdf zote akaziunganisha kwenye pdf moja ,sasa Kila siku harmashauri mpk inakuwa kero ili mradi tu Kila siku waonekane Wanatoa matangazo ya ajira .. sasa mbona kada zingine hawatoi.
Itawezekanage angali kila harimashauri inaleta tangazo psrs kwa muda wao, wakileta pamoja inawezekana 😁😁
 
I

Itawezekanage angali kila harimashauri inaleta tangazo psrs kwa muda wao, wakileta pamoja inawezekana 😁😁
Hii bado sio sababu, wanaeza yakusanya matangazo kadhaa labda ndani ya mwezi watoe tangazo moja na usaili uwe mmoja tu then wawapangie vituo vya kazi, baadae hata zikija halmashauri zingine wanaeza tumia database tu kawapangia vituo vya kazi, hii itapungusa sana usumbufu na gharama kwao utumishi na wasailiwa pia ambao wamekua wahanga wakubwa kwenye hizi harakati
 
I

Itawezekanage angali kila harimashauri inaleta tangazo psrs kwa muda wao, wakileta pamoja inawezekana 😁😁
wanakusanya hayo matangazo kwa kipindi flani then wanatengeneza pdf moja hii inawafanya waonekane smart
 
Leo ndio tumeachwa na pdf la watendaji tu...
Ila pdf sio fair tuna wilaya zaidi ya 120 Tanzania zote mkianza Ku display ajira za watendaji itakuaje?

Kiuhalisia hata kusema zinawekwa database sio kweli.

Kuishushia Hadhi portal ndo maana BOT,TRA,EWURA,TPDC,TPA hawaonekani tena ajira portals siku hizi
 
Mm nina mwamba nilikuwa na nafanya nae kazi dar siku moja kaniambia mzee ajira zikitoka lazima nipate taasisis kubwa tu nikambishia.

Majina kutoka jina lake la kwanza.

Kufuatilia kumbe ana ndugu yake alimpa paper la oral hadi written na wakambeba kwenye interview.

Mm nina jamaa yangu kutwa kuwasiliana na wabunge jina lake kwenye database walipeleke taasisi juzi majina yametoka kwenda wizara Ana mind kinyama ndo kila siku ananishtua na kuniambia wanaweza kumwita tena kwa taasisi wakubwa wanampambania.

Interview gereshi.

Sasa interview ndo useme zifanyiwe mkoani unadhani mambo yatakuwaje.
We endelea na mawazo yako mgando, watu tunapata utumishi taasisi kubwa tu bila ya kumjua mtu wala mganga.
 
H
Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
Hongera sana sana
 
Kuna furaha flani unapewa offer imeandikwa permanent and pensionable .

Jana tumemaliza induction kozi leo
Tupo tunasubili HQ.Trc post letter tukaanze kazi.

Usikate tamaa, siku moja mungu atakukumbuka.
TRC njaa kali sana kama halmashauri
 
Back
Top Bottom