Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unakuwa Mwalimu daraja IIIC hao ni bachelor degree alafu unapangiwa shule ya msingi kufundisha hadi raha jamani unakuwa na mda wa kutosha kufanya biashara zako na kuwaketi pamoja na familia yako bila uchovu uliyopitiliza😁😁 ualimu raha,
Ualimu unachosha level ya O-level, huko advance(A-level) hakuna shida sana wanafunzi wanajitambua tayali,
 
H Ivi ndivyo ilivyo mkuu?? lkn vitoto vile vinajikojolea khaa yaani ni vurugu tupu kukifundisha kijue ni issue bora advance aisee
 
Watu humu wanasema TRC njaa kali,mimi mbona naona pazuri au kwa vile nilikuwa kwenye njaa kali zaidi mtaani kwa miaka mingi? kiasi kinachoingia kwa account baada ya makato si chini ya 700k sasa njaa ipo wapi?
Hela nzuri hii, kinachobaki sasa ni wewe kuzichanga karata zako.

Hii SGR italeta mageuzi huko TRC
 
Ofisi ya waziri mkuu, ajira, na watu wenye ulemavu asali yake ipoje ndugu zangu
Scale ni hizi hizi tu TGS, ila tofauti itakuwa kwenye posho endapo pakitokea safari. Ambaye yupo sehemu isiyo na safari na hizo posho hawezi kupata kirahisi
 
Nenda ofisi za sekretarieti ya ajira
 
Ndugu inategemea na mwajiri amejipangaje wengine budget Iko very limited unataka akuite alafu akulipe nini?
 
Sasa wewe unajuaje kama uko kwenye database au haupo?? We unafikiri utawekwa kwenye database sababu tu uliingia oral hata kama ulifeli oral??
 
Mm jana nilikuwa nafanya analysis ya kada yangu.

Mwaka jana database wamechukua watu zaidi ya 200+

Lakini mwaka huu hata 50 hawafiki.

Mimi nitaweka imani na psrs siku nitakapopata kazi
Watu wanawekwa kwenye database kama wamefaulu na Oral pia, kama mwaka jana kwenye database walikua wengi kuliko mwaka huu basi mwaka jana walifaulu wengi oral kuliko mwaka huu. Watu wanafikiri ukisha ingia oral basi umeshafaulu !!!!
 
Kweli we ni jobless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…