Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duh!!!mwajiri anahusika vip na kulipa..
Mambo yamebadilika sasa hivi ngoja mfumo waliozindua uwe stable kwenye Taasisi kama Halmashauri unavyoona wanatupwa wengi....
Wanataka kuondoa mambo ya ulasimu mpaka mwajiri anapojisikia kuajiri usiwepo
Serikali inalipa basic salary lakini allowances nyingine na extra duty analipa mwajiri, haya uliza tena swali lako.
 
Ngoja majukumu yaongezeke, umepanga chumba kimoja na huna familia 700k+ utaiona nyingi
Yaani huyu jamani ni mjinga sana unaonaga ufahali kukatisha watu taamaa yeye kaona inamtosha hiyo pesa wewe ndo haikutoshi hivyo hujui kuchanga karata kitaa, na finacial plan huna ili utoboe maisha inaonesha unategemea mshahara ndo maana unakosoa watu waliyo pata kazi acha uzuzu we jamaa SAULGOODMAN
 
Hongera majukumu mema
 
Kama na wewe una support 700k ni nyingi kwenye uchumi huu basi kuna haja ya kubadili fikra zako, sintakutukana ntakwambia tu ukweli
 
Kama na wewe una support 700k ni nyingi kwenye uchumi huu basi kuna haja ya kubadili fikra zako, sintakutukana ntakwambia tu ukweli
Sasa ww unatakaje sasa wewe unajua shirika lina ofa nini na nini tofauti na salary afu kumbuka kakwambia after makato yote anabaki na hiyo afu ni diploma holder sasa unataka nini sasa, TRC na halimashauri bora wapi, watu wanaangaliya kuingia kwa system tu mengine ni hakiri yako kuwa na postive mindset jamaa, neenda hata wekeza kwa ufugaji au mashamba kama huna muda na biashara kuliko kutegemea mshahara utapiga kerere sana na familia yako itakuona unazingua sasa kila mara utasikia mke wangu mshahara mdogo bora nitafute transfer, mwenzio wanatafuta tu starting captal ili waimpliment project zao ndugu upo, saivi hawana pesa ndo maana mtu anatafuta kazi ili awe na uhakika kwanza wa money flow na uhakika wa kuishi ili mwisho wa siku project zake ziene sawa
 
Yani Mimi mtu anaye changaya "l" na "r" huwa nawadharau sana, ndo mana una feli interview sababu ya mambo madogo madogo tu.
 
Siku naona Jina langu naenda na tarumbeta Kachukua barua na ita na waandishi wa Habari wanisindikie wanifungulie na barua
Hahahahaaa.

Hizi mbwembwe tulizifanya sana humu, tulizungumzia kwenda na Suti, yaani kila aliyefika Oral aliandaa suti na kuinyoosha huku akiwa anasubiri placement.


Anyway, kuna raha yake kwenda pale Migiro ukiwa Mshindi, sio kama ukienda kwenye mkando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…