Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ujumbe na ushuhuda nzuri sana kaka,hongera pia sana ndugu....umeongea points muhimu kaka
 
Amen kaka
 
Shukrani mkuu na account yangu nimeipata mkuu mpaka wamepokea simu na leo weekends shukran wana jamvi kunitia moyo
Ulitumia namba gani kaka, maana kuna jamaa yangu hapa ana shida kama yako lakini kapiga simu customer care hawapokei na mwisho kabisa hawapatikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…