Hahahaaa.Kuna Kaa Raha Fulani Ivi akaelezeki uko kwenye gari unaenda dodoma masjala ya wazi kuchukua barua alafu ndani ya gari umekaa siti ya mbele mbele au katikati hakuna mtikisiko alafu uwekwe wimbo unaoupenda asee unaeza imba Kwa sauti kubwa mwanzo mwisho, yaan hapo ata uwe wimbo wa kihindi au kichina[emoji2][emoji2] na ukatoa matamshi sawa na uo wimbo na unaeza imba hadi beat lake[emoji2][emoji2] dah, Asee hongereni sana mliolamba asali, leteni shuhuda wakuu
Umejitahidi sana, umekaa kitaa mwaka mmoja. Ila uvumilivu sasa aaahhh.Mwaka jana mwezi wa sita ilikuwa interview yangu ya kwanza kufanya nilimaliza chuo 2022.Kwa bahati nzuri Mungu akanisaidia nikaingia oral kwa mara ya kwanza.
Kimbembe ikawa ni kusubiria placement ...kwa kweli nilikuwa na kiherehere sana[emoji28][emoji28] ikawa kila siku nikulalamikia placement kwa nini hawatoi majina,nikaanza ku imagine siku nikiwa kwenye gari naenda kuchukua barua(ikumbukwe ni interview ya kwanza[emoji23][emoji23]) basi nikawa moto na kila mtu home akawa ananipa matumaini ananiaminisha kwamba lazima utapata hii nafasi usihofu[emoji28] nami nikaanza kujipanga kuanza kazi kama vile baba yangu ndiye anaeajiri watu kwamba mimi kupata ni uhakika...
Basi Mungu alivyo mwema mwezi wa 8 placement zikatoka kuangalia!!!.... too bad!!! sikuwemo nikahisi moyo kuvunjika sana maana expectation niliyokuwa nayo ilikuwa kubwa mno nikajipa moyo labda huenda ntapata kupitia database...baadae majina ya database yakawa yanatoka kila jina simo nikaanza kujikatia tamaa[emoji1751][emoji1751]...baada ya Muda wakaacha kutoa majina kwenye database ya kada yetu kwa muda mrefu hapo ndo nikajua kabisa kuwa nilishakosa.
Basi nikawa nimekata tamaa na interview (japo nimefanya moja nilikata tamaa kulingana na maisha na gharama za kufanya interview dodoma) nikawa nimeridhia rasimi maisha ya kuwa mwanakijiji[emoji28]nikapoteza matumaini ikafika hatua mpaka nikaamua ku logout humu jf ili nisipost wala kucomment chochote.
Lakini Mungu alivyo wa ajabu jana pdf ya tarehe 20 nimeliona jina langu kwenye pdf kama utani tu yani[emoji28][emoji28][emoji28](nina furaha kubwa sana na namshukuru Mungu)
Nilichojifunza ni kwamba kinachofanya maumivu ya kukosa jina lako kuwa makubwa ni kuwa na EXPECTATION KUBWA za kuamini kwamba utapata basi ukikosa unajikuta unaumia sana na kujiuliza maswali mengi.
...Niendelee kuwatia moyo ambao bado hamjafikiwa SIKU YENU ITAFIKA TUWEKE MATUMAINI KWA MUNGU NA KUPUNGUZA EXPECTATIONS TUTAFIKIWA TU[emoji120][emoji120]
Kumbe zaman sanamwezi wa tatu mwishoni nazani
Ndio nilichokifanya muuHakikisha kwenye maelezo yako weka namba ya nida usijieleze sana
Stick kwenye nafasi uliyoitiwa kuzingatia job descriptionsJamani wana jamvi nina kaswali hapa, TANAPA na mimi wameniita kunikanda lakini sasa usaili wa mchujo hakuna(Alhamdulillah) usaili uliopo ni wa vitendo(zoezi la kupima Afya ) na Oral Swali langu lipo hapo kwenye zoezi la kupima Afya hamna Tumazoezi kweli hapo? Nianze kujifua?[emoji848]View attachment 3049204
kwenye kupima afya si kama jeshi tu.lazima mchunguliane vishimo 🤣 🤣Jamani wana jamvi nina kaswali hapa, TANAPA na mimi wameniita kunikanda lakini sasa usaili wa mchujo hakuna(Alhamdulillah) usaili uliopo ni wa vitendo(zoezi la kupima Afya ) na Oral Swali langu lipo hapo kwenye zoezi la kupima Afya hamna Tumazoezi kweli hapo? Nianze kujifua?🤔View attachment 3049204
Hii ya descriptions si itazingatiwa zaidi tarehe 14? Sasa tarehe 13 kwenye usaili wa vitendo au kupima Afya hapo nini kitafanyika? Maana hawawezi kupima Afya hivi hivi🤔Stick kwenye nafasi uliyoitiwa kuzingatia job descriptions
😂😂😂Daah kaka unanitisha atkwenye kupima afya si kama jeshi tu.lazima mchunguliane vishimo 🤣 🤣
🤣 🤣 🤣 lazima ukohoe mkuu kitu kisipojifinya ushakandwa tayar😂😂😂Daah kaka unanitisha at
Ukimwi.[emoji23][emoji23][emoji23]Daah kaka unanitisha at
🤣 🤣 🤣 lazima ukohoe mkuu kitu kisipojifinya ushakandwa tayar
😂😂😂😂daah🙌🙌Ukimwi.
Pressure.
Macho.
Matatoo.
Sijui uvungu.
Vua nguo zote waangalie topo.
Mambo ni mengi nyie si jeshi au umesahau
jiandae kisaikolojia lazima wakuzoom🤣 🤣 🤣😂😂😂🙌 D 2 ninazo nimekupata hpo, kwani ni hicho tu wanaangalia?
Halafu utoke hapo ukose kazii.Oyaaaah😁jiandae kisaikolojia lazima wakuzoom🤣 🤣 🤣
🤣 🤣 watu wanajinyongaHalafu utoke hapo ukose kazii.Oyaaaah😁
Oya ni nomueerHalafu utoke hapo ukose kazii.Oyaaaah😁
Soma kwenye tangazo kuna sifa huwa wanaziweka kwamba fani gani wanazihitajiNaombeni msaada wakuu. Hivi mtu mwenye certificate ya business administration anaweza kuomba ajira hizo za mtendaji wa mtaa/kijiji. ?
Uwe na pumzi ya kupiga walau pushup 30😂😂😂🙌 D 2 ninazo nimekupata hpo, kwani ni hicho tu wanaangalia?