Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Mungu awasimamie wote mkawakande bila huruma haoAhsante sana mkuu.
Tupo tuna warm up hapa, mashambulizi yanaandaliwa na PSRS kutukanda kama kawaida yao.
Kaubaridi jepesi kameanza kuwarahisishia PSRS kazi hapa[emoji3][emoji3][emoji3]
👏👏👏Be strong mkuu,on my way nakuja hapo mkando wa keshooo.
Ushafaulu usaili mkuu?Habari ya asubuhi ndugu, salary scale ya loan officer grade II kwa HESLB ni HESLB SS4.
Je kuna yeyote anaweza nisaidia hii scale kwa figure ni kiasi gani.
Kwenye oral hawakuulizi mshahara kiongoziHabari ya asubuhi ndugu, salary scale ya loan officer grade II kwa HESLB ni HESLB SS4.
Je kuna yeyote anaweza nisaidia hii scale kwa figure ni kiasi gani.
Usaili bado kaka,Ushafaulu usaili mkuu?
Poa poaAhsante kaka.
Kwa mwongozo.
Hamnaga maswali y hvyo utumishi mzee wang maswali ni ya fani yako mnneUsaili bado kaka,
Napenda kufahamu in case nitaulizwa, ni vizuri kuwa within the scale.
Fuata miongozo iliyotolewa humu na wadau walioshiriki oral tyrUsaili bado kaka,
Napenda kufahamu in case nitaulizwa, ni vizuri kuwa within the scale.
Cheki comments za mwanzo huko tumetoa miongozo mizuri itakusaidiaAhsante kaka.
Kwa mwongozo.
Kila la kher mpendwa,mimi bado nasubiri afisa biashara tamisemi sjui wataita linNimeonja joto la Oral, rasmi nimeingia kwenye list ya wasubiri placements.
Ahsanteni kwa Dua zenu, sasa tushikamane tena kwenye kuombeana kwenye hatua zote alizopo kila mmoja wetu.
Nishatoka mkuuJiamini tuko nyuma yako kwa maombi mkuu. Nao ni binadamu kila kitu kinawezekana good luck.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Naamini soon utaanza lamba asali. Zidisha maombi mana part yako ushaifanya.Nimegusa maswali yote kwa point tano tano kama walivyotaka. Tuombea angalau niingie kwenye kanzidata
Nishatoka mkuu, sasa naenda kupanda gari nirudi zangu mjiniBe strong mkuu,on my way nakuja hapo mkando wa keshooo.
Hongera sana sana na pole,me pia ndo naitafuta Dom soon nipo hapo kwaajili ya kesho.Nishatoka mkuu, sasa naenda kupanda gari nirudi zangu mjini
Wewe ushapata kazi... Believe me MkuuNimeonja joto la Oral, rasmi nimeingia kwenye list ya wasubiri placements.
Ahsanteni kwa Dua zenu, sasa tushikamane tena kwenye kuombeana kwenye hatua zote alizopo kila mmoja wetu.