Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nipendee kuwapongeza sekretarieti ya ajira na utumishi wa umma.

Kwa kutuletea mikeka mingi sana mwezi huu zoezi hili likawe endelevu kuliko kutoa vimikeka viwili au vitatu kwa mwezi.

Kingine PDF imechukua watu wengi wa kazidata na wenye miaka zaidi ya mmoja nadhani lengo lao nikumaliza database Hui nzuri.

Niwatakie asubuhi njema
 
Naam Engineer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…