Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera mkuu nami hatimaye wamenikumbuka ktk pdf ya jioni hii. Daaaah msoto ulikuwa mkali sanaa
 
Wapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona mkono wa mungu kwenye Shirika nono kuliko TRC
 
Kama ni shirika la mizinga taifa kule morogoro chini ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa Hongera sana;
 
Hongera sana Mkuu!!!!Ukawe mtumishi mwema
Wakati wa Mungu ukifika hakuna wakuzuia.....
Kachape kazi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…