Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMungu ameniona, Mungu ameniona, Mungu ameniona, Mungu ameniona, ahsante sana utumishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMungu ameniona, Mungu ameniona, Mungu ameniona, Mungu ameniona, ahsante sana utumishi
Ahsante sana kakaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Ahsante sana brotherHongera mkuu
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi Mungu hutoa Kwa wakati sahihi kila la kheri katika majukumu yako mapya mkuuMungu ameniona, Mungu ameniona, Mungu ameniona, Mungu ameniona, ahsante sana utumishi
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi Mungu hutoa Kwa wakati sahihi kila la kheri katika majukumu yako mapya mkuu
Hongera mkuu nami hatimaye wamenikumbuka ktk pdf ya jioni hii. Daaaah msoto ulikuwa mkali sanaaNashukuru Mwenyezi Mungu,hatimaye nami nimeona jina langu ktk placement jioni hii....hakika ni Kam ndoto kwangu maana huu msoto haukuw rahis ila naamin wkt wa Mungu ndio wkt sahihi,kila mmoja wetu humu nna Imani atapata kazi kwa muda aliopangiwa na Mungu....
Kama ni shirika la mizinga taifa kule morogoro chini ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa Hongera sana;Wapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona mkono wa mungu kwenye Shirika nono kuliko TRC
Nakukumbusha mamushika fanya kweliSiku naona Jina langu naenda na tarumbeta Kachukua barua na ita na waandishi wa Habari wanisindikie wanifungulie na barua
Vip mkuu shirika la mzinga lina asali sana?? haki-tzKama ni shirika la mizinga taifa kule morogoro chini ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa Hongera sana;
Nimekula huko Asee ni muujiza kwangu Hata siaminiwizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa
Lazima vimuli muli naenda hapo chapu Juma tatu Yani angekua wanafanya kazi jumapili ninge wahi asubui mapemaNakukumbusha mamushika fanya kweli
Hongera sana Mkuu!!!!Ukawe mtumishi mwemaNashukuru Mwenyezi Mungu,hatimaye nami nimeona jina langu ktk placement jioni hii....hakika ni Kam ndoto kwangu maana huu msoto haukuw rahis ila naamin wkt wa Mungu ndio wkt sahihi,kila mmoja wetu humu nna Imani atapata kazi kwa muda aliopangiwa na Mungu....
Shukrani brotherHongera sana, uvumilivu ni ushindi. Huwezi kushinda bila kuvumilia misukosuko na kuendelea kupambana.
Kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu mkuuHongera mkuu nami hatimaye wamenikumbuka ktk pdf ya jioni hii. Daaaah msoto ulikuwa mkali sanaa
😀😀😀 Aende Tu kimya kimya asiweke mbwembwe Sana🤣🤣 🤣 vaa suit Kali au Kaunda suti moja Kali SanaNakukumbusha mamushika fanya kweli