Amen Mungu ni mwemaWapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona mkono wa mungu kwenye Shirika nono kuliko TRC
Haya ndio maajabu baada ya kukosa ulipopataka mwanzo, kumbe nafasi yako ilikuwa kwingine ambapo ni bora zaidi.Wapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona mkono wa mungu kwenye Shirika nono kuliko TRC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakukumbusha mamushika fanya kweli
Siku 5 mbele baada ya hii post hatimaye matarumbeta yamepata mteja..Siku naona Jina langu naenda na tarumbeta Kachukua barua na ita na waandishi wa Habari wanisindikie wanifungulie na barua
Mbwembwe tu za ujobless mkuu hela za lukodi tarumbeta atatoa wapi?😀😀Siku 5 mbele baada ya hii post hatimaye matarumbeta yamepata mteja..
Timiza ahadi..
Ubaya ubwela[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahadi ni deni😂Nakukumbusha mamushika fanya kweli
Hahahahaha.Mbwembwe tu za ujobless mkuu hela za lukodi tarumbeta atatoa wapi?[emoji3][emoji3]
Unasindikizwa na msimamizi na kukuambia fuata road usepe bila kukaribiana au kuonana na wale ambao bado hawajaingia kukandwaHivi mtu akitangulia oral hawez kuwaambia the rest maswali?
😀😀😀 yeah wengine ata kusoona kaunda suti hawana uwezo ila umu kwenye keyboard wanakuambia ntavaa suti siku hiyo😀😀Hahahahaha.
Kuna moments unaweza kuwaza kufanya jambo hata kama hauwezi kulifanya, hiyo ni kuonesha ni namna gani utakuwa na furaha juu ya jambo fulani endapo likitokea
🤣🤣🤣 Matarumbeta yaanze kupigwa Makulu hadi afike Migiro.Siku 5 mbele baada ya hii post hatimaye matarumbeta yamepata mteja..
Timiza ahadi..
Ubaya ubwela[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tutaitwa Tu Tuendelee kuwa wavumilivu, waziri mpya Ridhiwani kikwete kaamua kaanza na kazi nzuri operation database naamini tuko karibu TutafikiwaKwa hali hii ipo siku ntajikuta mwnyw kwenye huu uzi 😔
Alipoingia kipindi ni naibu waziri pdf zilikuwa mfululizo, na saiv ni waziri pdf nazo ni bandika bandua naamini mambo yatakuwa haraka haraka sana placement hazitachelewa naamini atajibu swali letu pendwa ili kwanini utumishi wanachukua Mda mrefu kuita watu kaziniMkuu tutaitwa Tu Tuendelee kuwa wavumilivu, waziri mpya Ridhiwani kikwete kaamua kaanza na kazi nzuri operation database naamini tuko karibu Tutafikiwa
Hili swali halijawahi kupata jibu asee😅 hivi mwanzilishi wa huu uzi bwana lerman3x alishapataga kazi?😅Alipoingia kipindi ni naibu waziri pdf zilikuwa mfululizo, na saiv ni waziri pdf nazo ni bandika bandua naamini mambo yatakuwa haraka haraka sana placement hazitachelewa naamini atajibu swali letu pendwa ili kwanini utumishi wanachukua Mda mrefu kuita watu kazini
Ila mm Nina wasiwasi na hizi pdf kama ni mfuatiliaji mzuri wa pdf nadhani mwezi huu ndo zimeongezeka sana tofauti na miezi mingine Hali hii uwa inakuja na kuondoka .hainaga consistencyHili swali halijawahi kupata jibu asee[emoji28] hivi mwanzilishi wa huu uzi bwana lerman3x alishapataga kazi?[emoji28]
Kwani waziri anahusika vipi na pdf ukiachana na katibu mkuuAlipoingia kipindi ni naibu waziri pdf zilikuwa mfululizo, na saiv ni waziri pdf nazo ni bandika bandua naamini mambo yatakuwa haraka haraka sana placement hazitachelewa naamini atajibu swali letu pendwa ili kwanini utumishi wanachukua Mda mrefu kuita watu kazini