Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona mkono wa mungu kwenye Shirika nono kuliko TRC
Amen Mungu ni mwema
 
Haya ndio maajabu baada ya kukosa ulipopataka mwanzo, kumbe nafasi yako ilikuwa kwingine ambapo ni bora zaidi.

Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Naombeni kuuliza swali?

Nilifanya oral moja ya hospital kubwa nchini tulikuwa watu 150+ mwezi wa nane.

Wakaitwa watu mwezi wa 11 kazini idadi walizotangaza ni 50 ila waliita watu 20 tu kazini.

Baada ya hapo hawakuita tena database mpaka mwezi uliopita ndo wakaanza kuchukua watu kwa database yetu maana muda wote walikuwa wanaita wale waliotutangulia.

Swali langu .

Je mwezi wa nane ikifika database yetu itakuwa ina expire ilhali hawajafika idadi hata ya watu 100+?
 
Mkuu tutaitwa Tu Tuendelee kuwa wavumilivu, waziri mpya Ridhiwani kikwete kaamua kaanza na kazi nzuri operation database naamini tuko karibu Tutafikiwa
Alipoingia kipindi ni naibu waziri pdf zilikuwa mfululizo, na saiv ni waziri pdf nazo ni bandika bandua naamini mambo yatakuwa haraka haraka sana placement hazitachelewa naamini atajibu swali letu pendwa ili kwanini utumishi wanachukua Mda mrefu kuita watu kazini
 
Hili swali halijawahi kupata jibu asee😅 hivi mwanzilishi wa huu uzi bwana lerman3x alishapataga kazi?😅
 
Alipoingia kipindi ni naibu waziri pdf zilikuwa mfululizo, na saiv ni waziri pdf nazo ni bandika bandua naamini mambo yatakuwa haraka haraka sana placement hazitachelewa naamini atajibu swali letu pendwa ili kwanini utumishi wanachukua Mda mrefu kuita watu kazini
Kwani waziri anahusika vipi na pdf ukiachana na katibu mkuu
 
Back
Top Bottom