Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Usiwe na hofu mkuu...database huwa inapita mwaka si unaona wanaita kuanzia january 2023
 
Broo mwifwa kuna uhusiano gani Kati ya waziri aliyekuwepo madarakani na wingi wa ajira kwenye portal?
hakuna uhusiano,huu ni mwaka wa fedha umeanza hivyo fungu lilishakuwepo muda tu,pia uchaguzi unachangia pa kubwa....ukifika mwez wa 9 tutatafutana
 
hakuna uhusiano,huu ni mwaka wa fedha umeanza hivyo fungu lilishakuwepo muda tu,pia uchaguzi unachangia pa kubwa....ukifika mwez wa 9 tutatafutana
Yes hata ukiangalia mwaka jana trending ya ajira pdf zilifululiza sana mwezi wa saba na wa nane baada ya hapo matanga.

Nadhani kinachopelekea pdf kuwa nyingi ni .

(1)mwanzo wa mwaka wa fedha fungu lipo.

(2)vibali vimetoka kutolea sio muda.

(3) wanakimbizana na database hasa ya mda lga walioirundika mwaka jana
 
target kuanzia january halmashauri na taasisi zitengeneze strategies tu,na sioi uhaba wa watendaji.
 
Mm uwa nawashangaa utumishi kwa hizo pdf mfano Tano wangekuwa wan a combine pamoja kuliko kutoa kila Siku
majina hua yanachambuliwa na siyo inshu ndogo kuchambua,pia wao ni taasisi wanategemea population/visitors kuexist hiyo ni market plan/branding siyo mbaya kufanya hivo.

taasisi now zinachukua watu chap kwa haraka huenda pia wanahofu after election serikali itakuwa haina pesa za kuajiri.
 
Hongera sana na karibu katika utumishi wa umma.
 
Hongera na ukawe mtumishi bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…