No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Usiwe na hofu mkuu...database huwa inapita mwaka si unaona wanaita kuanzia january 2023Naombeni kuuliza swali?
Nilifanya oral moja ya hospital kubwa nchini tulikuwa watu 150+ mwezi wa nane.
Wakaitwa watu mwezi wa 11 kazini idadi walizotangaza ni 50 ila waliita watu 20 tu kazini.
Baada ya hapo hawakuita tena database mpaka mwezi uliopita ndo wakaanza kuchukua watu kwa database yetu maana muda wote walikuwa wanaita wale waliotutangulia.
Swali langu .
Je mwezi wa nane ikifika database yetu itakuwa ina expire ilhali hawajafika idadi hata ya watu 100+?