Marcellojr
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 298
- 773
Shukrani kakaHongera sana na karibu katika utumishi wa umma.
Kuanzia mwezi wa tisa maji tutayaita MMA😅Ila mm Nina wasiwasi na hizi pdf kama ni mfuatiliaji mzuri wa pdf nadhani mwezi huu ndo zimeongezeka sana tofauti na miezi mingine Hali hii uwa inakuja na kuondoka .hainaga consistency
Daaah😅Hongera sana kwake na nimpe maua yake maana kama bahati anayo sana, maana alianzisha uzi kimasikhara sikhara lakini leo hii una comment kibaaaaao🙌🙌halfu mwamba hana wasi kabisa keshalamba zake asali kitambo🤗🔥Siku nyingi sana, zaidi ya mwaka sasa yupo kazini
Hilo siwezi kujua mkuuBroo mwifwa kuna uhusiano gani Kati ya waziri aliyekuwepo madarakani na wingi wa ajira kwenye portal?
Angalia tu isije ukawa upo Halmashauri.Habarini hope mko poa, ningependa niwatie moyo wenzangu ambao bado hamjafanikiwa kupata ajira kuwa wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nimefuatilia uzi huu uzi tangu mwaka 2022 nikiwa sina ajira ila kupitia shuhuda za wadau humu nikajitia moyo kuwa namimi nitatoboa, mwaka 2023 nikafanikiwa kufanya interview ambayo ndio ilionipatia kazi na sasa nimesahau machungu ya nilopitia.
Ushauri wangu, usiache kufanya interview yoyote hata iwe na post moja, Jiandae vizuri huku ukimtanguliza Mungu pia, finally kuwa na subra kwani huwezi kujua kwanini mwingine amepata wewe umekosa.
Asanteni.
Wakumbushe "Serikalini kuna mshahara mbuzi hasaaa"Hongera sana karibu tuutumikie umma.
Kaka hivi haukuhamaga mpaka leoWakumbushe "Serikalini kuna mshahara mbuzi hasaaa"
Side hustle muhimu.
#YNWA
Nina biashara sasa hivi.Kaka hivi haukuhamaga mpaka leo
Pambana uhamisho kaka mbona naskia ukiwa na 5M unahama taasisi nzuriNina biashara sasa hivi.
Soon naachana na kulamba sorry viatu vya ccm.
#YNWA
Biashara tamu sanaaaaaPambana uhamisho kaka mbona naskia ukiwa na 5M unahama taasisi nzuri
Ina high risk nyingiBiashara tamu sanaaaaa
#YNWA
Sure side hustle ndio zinatoa...tofauti na hapo unaweza kuwa mtu wa majungu mpk unastaafuWakumbushe "Serikalini kuna mshahara mbuzi hasaaa"
Side hustle muhimu.
#YNWA
Sasa hiv unahaki ya kutembea kifua mbele....umeupiga mwingi kama spainUnaweza kushare link hii na rafiki au ndugu yako ajiunge humu pia ili asipitwe na taarifa mbalimbali kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuhusu masuala ya ajira.
Sekretarieti ya Ajira | WhatsApp Channel
Sekretarieti ya Ajira WhatsApp Channel. Karibu kwenye chaneli ya WhatsApp ya Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma (PO-PSRS). 6.7K followerswhatsapp.com
AsanteJana tu hapa tunachat kumbe jina linakuja Mungu Mkubwa Sana. Hongera Sana CC
Wapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona mkono wa mungu kwenye Shirika nono kuliko TRC
Kaa navyo tuMikipata mishahara msisahau kununua viwaja, viwanja ninavyo huku Kibaha nia to dar es salaam