Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Npe tofauti ya institute na universite mfano TIA,NIT,IAA na UDSM,UDOM,SUA tuanzie hapo maana kila chuo kina miongozo na vgezo vyake pia hata kwenye kuadmit wanafunzi kwahyo haziwezi lingana lakini tutorial na assistant lecturer wa UDSM na TIA mshahara ni sawa wanatofautina kwenye uzito wa kozi tu na ndo panapotofautisha mishahara yao, mfano tutorial wa sociology hawez kulingana na tutorial wa MD mshaharaTCU walisha harmonize siku nyingi Sana
Universities atleast 3.8
Institutes 3.5
Endelea kukaa na miongozo outdated.
institute zinatoa had PhD au we unazungumzia institute gani labda naweza kuwa sjakuelewa pia.TCU walisha harmonize siku nyingi Sana
Universities atleast 3.8
Institutes 3.5
Endelea kukaa na miongozo outdated.
KabsaTukae mkao wa kusubiri pdf...mambo ya GPA hatuyajui wengine
Tusubiri mwanzo wa mwezi keshoLeo shwaaaaaa [emoji1786]
Imepita hiyo...Shwaaaaaaaπ₯΄π₯΄π₯΄π₯΄
Ndioππ,Nways hivi ushaanza kazi rasmi?
Kumbe ulipata mapema tu na ushaanza kazi jmn hongera sana...nakumbuk ulisemag sku ukiona jina lko utaenda na tarumbetaπ€£π€£π€£Ndio
PINACOLADE MADAM UTUMISHIKumbe ulipata mapema tu na ushaanza kazi jmn hongera sana...nakumbuk ulisemag sku ukiona jina lko utaenda na tarumbeta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππππaah jmnPINACOLADE MADAM UTUMISHI
Ile PM uliyoenda ghafla tu, now ushakuwa madam UTUMISHI π ππππππaah jmn
Oohh kwa mfano hata kama uko geita unaweza fanyia tu huko huko, na unaenda maeneo gani kuwataarifu kuwa umebadilisha kituo, au unaweza watafuta hata kwa simu tuUnaweza fanyia popote, wahi asubuhi utoe taarifa kwa wasimamizi kua umebadilisha kituo, kisha watatransfer mtihani wako
Huwezi badili kituo chakufanyis interview wakisha pangs wamepanga Ndio maana unambiwa Uwe unabadilishw location kabla yakuomba kazi usipo enda ulipo pangiwa hutofanya maana huko unakotaka kwenda jina lako halipokituo
una uhakika?Huwezi badili kituo chakufanyis interview wakisha pangs wamepanga Ndio maana unambiwa Uwe unabadilishw location kabla yakuomba kazi usipo enda ulipo pangiwa hutofanya maana huko unakotaka kwenda jina lako halipo
HaiwezekaniOohh kwa mfano hata kama uko geita unaweza fanyia tu huko huko, na unaenda maeneo gani kuwataarifu kuwa umebadilisha kituo, au unaweza watafuta hata kwa simu tu
Yeah yuko sahihiuna uhakika?