Kubadili location kabla ya kuomba kazi ni ngumu maana haya maisha hayatabiriki mtu leo anaweza kuwa mkoa huu kesho akahamia mkoa mwingine, ukizingatia hizo ajira zenyewe za utumishi huwa wanachelewa kuita interview mtu kaomba ajira mwezi wa nne wanakuja kuita interview mwezi wa nane, wakati mwingine mtu anaweza akahama location kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake na kwa wakati huo ikashindikana kurudi kwenye mkoa aliopangiwa labda waseme tu hiyo ni njia mojawapo ya kupunguza watuHuwezi badili kituo chakufanyis interview wakisha pangs wamepanga Ndio maana unambiwa Uwe unabadilishw location kabla yakuomba kazi usipo enda ulipo pangiwa hutofanya maana huko unakotaka kwenda jina lako halipo
Nadhani katibu alikuwa kwa kikao labda next week PDFYule Katibu kamati vp umechomoka mkuu?
Hahahahaa.Ase Unareport kazi kumbe anae kupokea kazi ni n I intern alafu anakuuliza umepataje hii nafasi [emoji123][emoji123] ila kujitolea k wenye ofisi za serekali kuna mda akili zina lala Huoni kazi unajiridhisha [emoji851][emoji851]mimi nilijitolea mahali Miaka mi tano (5) ukiniona utajua mtumishi [emoji38][emoji38][emoji3060] siku tumefukuzwa tulikuta tangazo notes bodi !! Walikua wanatupa moyo tunatafuta kibali tuwajiri tukafukuzwaaa bila maelekezo kujitolea sana jau
Kila la kheri mkuu kwenye majukumu yako mapyaNamshukuru Mungu sana nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni interview yangu ya kwanza kufanya hapo mwezi wa tano Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia.
Hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu.
God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
ahsante sana mkuuKila la kheri mkuu kwenye majukumu yako mapya
NimekuPM kakaKila la kheri mkuu kwenye majukumu yako mapya
HongeraNamshukuru Mungu sana nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni interview yangu ya kwanza kufanya hapo mwezi wa tano Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia.
Hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu.
God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Ahsante sana [emoji120][emoji120]Ho
Hongera
Hongera sana mkuuNamshukuru Mungu sana nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni interview yangu ya kwanza kufanya hapo mwezi wa tano Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia.
Hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu.
God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Shukrani sana [emoji120]Hongera sana mkuu
Hongera sanaNamshukuru Mungu sana nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni interview yangu ya kwanza kufanya hapo mwezi wa tano Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia.
Hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu.
God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
ahsante sana mkuu[emoji120]Hongera sana
Chief MWIFA umetupiga tafu sana vijana kwenye nyakati ngumu za kutaka kukata tamaa. Nakubali mkuuKila la kheri mkuu kwenye majukumu yako mapya