Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kaona mbali sana,ukikaa ofisini pale unamuona mwanao anakukodolea macho,baba acha ufisadi ukitimuliwa hapa tutaishije,ada nani anatatulipia😀😀
Hapo ndo ujue leadership skills sio umri ni mtu tu ukiamua ku-behave unaweza kwanza alipo apishwa tu akafute Kodi zote za kipuuzi zinazo umiza wananchi na kuamua kutegeme mapato kutoka kwa resource za nchi na natural resource na leo kaja na hii kubandika picha yake mahofisini na kumuabudi no yeye sio Mungu ni binadamu wa kawaida tu ila tu amepewa dhamana ya kuwatumikia wanchi, hivyo kawaomba wabandike picha za watoto wao mahofisini kwao ili ziwe zinawakodolea macho waache ufisadi😁
 
Eeh kumbe afya wako vzr hapo kama una loan board n kama ngap take home?
Afya Tamisemi Diploma Wote wanaondoka na 740K take home 635K.

Na hapo kama unafanya kazi wizara hospital za mikoa unalamba Allowance, bima,overtime.

Afya hiyo hiyo kwenye Taasisi kama MNH,MOI,JKCI mtu wa diploma anaondoka na 1.2M basics take home 900+ haujaongelea Overtime ,bima,allowance.

Sijagusa Degree za afya
 
Tupambane Tupate Asali.

Nakumbuka enzi za kina mwifa kulikuwa na asali wa nyuki wadogo na nyuki wadogo kubwa sijui iliishia wapi hii.

Mwaka huu vyuma vimekaza.

Halmashauri ndo zinaajiri.

Taasisi kimya sijui kuna nini nyuma ya pazia
 
Apo ni kumuomba mungu upangiwe sehemu nzuri japo hakuna sehemu mbaya kama unaanza kupambana ni suala la muda tu. Kikubwa ni kupambana. Nakumbuka tulifanya interview MDAs and LGAs mwaka jana lakin kuna watu walipangiwq MDAs na wengi walipangiwa LGAs kikubwa upate check number tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…