Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Kaona mbali sana,ukikaa ofisini pale unamuona mwanao anakukodolea macho,baba acha ufisadi ukitimuliwa hapa tutaishije,ada nani anatatulipia😀😀Maamuzi ya raisi wa Senegal youngest president in Africa