El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
poapoa usiponitumia nakufata mpaka ofisini🤣🤣Mwisho wa mwez tusubir tuone🤗
Jamaa kashapata pdf la juzi...kajitoa kwenye kashkash hizinambie mwanangu kwema ukoo.miwa inauzika🤣 🤣
🤣 🤣 kumbe jamaa kafanikiwa kutoka kwenye bwawa la moto..Jamaa kashapata pdf la juzi...kajitoa kwenye kashkash hizi
Kama kweli alikuwa jobless...atahitaji mishahara mi 4 ili aanze kukaa sawa, kwanza alipe madeni yote..pili ajipange pangepoapoa usiponitumia nakufata mpaka ofisini🤣🤣
kumbe ulishalamba asali ndugu yangu.hongera sana aisee kweli mungu fundiMwanangu sana Marabiosh
Kaka soon nakuombea upate.kumbe ulishalamba asali ndugu yangu.hongera sana aisee kweli mungu fundi
Naona Halmashauri zinachukua watu balaa mkeka wa juzi wameondoka na watu wa mwezi wa kwanza 2023.kumbe ulishalamba asali ndugu yangu.hongera sana aisee kweli mungu fundi
nashukuru sana utawala2025 nawewe nakuombea upate ndugu yangu tuondokane na haya matesoKaka soon nakuombea upate.
halmashauri zimeamua aisee naona majobless wanapungua kwa kasi ya ajabu kwenye uziNaona Halmashauri zinachukua watu balaa mkeka wa juzi wameondoka na watu wa mwezi wa kwanza 2023.
Kutukanana kwenye uzi ndio kuwaka kwenyewe hukoSasa mbona umetuambia kimewaka.
Waajiri wanatofautiana.Naomba kuuliza , hivi huwa ni mpaka upigiwe simu au siku 14 za kusubiria zikiisha unaweza kwenda tu mwenyewe?
Mfano mimi nilivyoreport juzi juzi HR alisema hizo siku 14 ni za kusubiria hela ya kujikimu ukiona imechelewa unaweza kusubiria mpaka mshahara ukaingia,, lakini akasema hawalazimishi mtu kukaa nyumbani kama yeye anajiona anamzuka wa kazi unaweza kuanza tu kama hautaki kusubiria[emoji1][emoji3].
SWALI 1, Je kupata hizo pesa za kujikimu/mshahara ni mpaka akupigie simu au ikiingia unaweza kuona tu ukiwa bado nyumbani ndipo ukaanza safari ya kwenda?
2, Naomba pia kuuliza kuna watu waliowahi kupata pesa za kujikimu ndani ya hizo siku 14 kabisa kwa uaminifu? (Maana nasikia zinachelewaga sana na wengine wamekaa muda mrefu bila kulipwa)
Kama ni halmashauri subiri mshahara uingie ndio uende kuanza kazi, Ukitegemea pesa ya kujikimu utateseka mkuu.Naomba kuuliza , hivi huwa ni mpaka upigiwe simu au siku 14 za kusubiria zikiisha unaweza kwenda tu mwenyewe?
Mfano mimi nilivyoreport juzi juzi HR alisema hizo siku 14 ni za kusubiria hela ya kujikimu ukiona imechelewa unaweza kusubiria mpaka mshahara ukaingia,, lakini akasema hawalazimishi mtu kukaa nyumbani kama yeye anajiona anamzuka wa kazi unaweza kuanza tu kama hautaki kusubiria😄😀.
SWALI 1, Je kupata hizo pesa za kujikimu/mshahara ni mpaka akupigie simu au ikiingia unaweza kuona tu ukiwa bado nyumbani ndipo ukaanza safari ya kwenda?
2, Naomba pia kuuliza kuna watu waliowahi kupata pesa za kujikimu ndani ya hizo siku 14 kabisa kwa uaminifu? (Maana nasikia zinachelewaga sana na wengine wamekaa muda mrefu bila kulipwa)
sawa sawa nimeelewa 🙏Waajiri wanatofautiana.
Wengine wanaharakisha michakato yote na kukamilika kwa wakati.
Wengine miyeyusho pia, wanachelewesha michakato.
Mshahara unaweza kupata hata kama bado upo nyumbani unasubiri kuitwa/kupigiwa simu endapo huyo mwajiri amekamilisha taratibu zako za ajira(yaani umeungwa kwenye system ya payrol)
Hela za kujikimu ndio inategemeana na Mwajiri, kama yuko poa atalipa kwa wakati, kama ni miyeyusho basi mtajua mtiti wake
Aisee ni hatariKama ni halmashauri subiri mshahara uingie ndio uende kuanza kazi, Ukitegemea pesa ya kujikimu utateseka mkuu.
Kuna watu wanaenda kustafu hizo pesa za kujikimu hawajawahi kupewa.
Ikitokea wamepata mtu, hapo inakuwaje?Nafasi inaweza ikawepo na isiwepo, kama watapata mtu ambaye haihitaji hizo process zote au ameshazikamilisha kwanini wamuache waendelee kukusubiri wewe??? Hii ndo Ile "Hoping for the best but expecting the worst"
Hapo kwenye kupush barua ndio changamoto kama huna mtu wa ndani utumishi. Simu wanapokea ila majibu ni yale yale kuwa mvumilivu inashughulikiwaMe nilipata placement kwenye taasisi A mwez wa 12 mwaka jana nikiwa mtumishi wa umma tayari, Mwajiri mpya akanipa maelekezo kama uliyopewa wewe...Nimekuja kupata barua ya KM-Utumishi ya uhamisho July 2024 now nipo kwa mwajiri mpya. So cha kufanya push barua yako ya uhamisho iwahi kutoka utumishi usijali kuhusu nafasi.
Ministry department and agency (MDA) local government authority LGAHivi mnajua vizuri M D A ni nini? na LGA ni nini?