Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naomba kuuliza , hivi huwa ni mpaka upigiwe simu au siku 14 za kusubiria zikiisha unaweza kwenda tu mwenyewe?

Mfano mimi nilivyoreport juzi juzi HR alisema hizo siku 14 ni za kusubiria hela ya kujikimu ukiona imechelewa unaweza kusubiria mpaka mshahara ukaingia,, lakini akasema hawalazimishi mtu kukaa nyumbani kama yeye anajiona anamzuka wa kazi unaweza kuanza tu kama hautaki kusubiria[emoji1][emoji3].

SWALI 1, Je kupata hizo pesa za kujikimu/mshahara ni mpaka akupigie simu au ikiingia unaweza kuona tu ukiwa bado nyumbani ndipo ukaanza safari ya kwenda?

2, Naomba pia kuuliza kuna watu waliowahi kupata pesa za kujikimu ndani ya hizo siku 14 kabisa kwa uaminifu? (Maana nasikia zinachelewaga sana na wengine wamekaa muda mrefu bila kulipwa)
Waajiri wanatofautiana.

Wengine wanaharakisha michakato yote na kukamilika kwa wakati.

Wengine miyeyusho pia, wanachelewesha michakato.

Mshahara unaweza kupata hata kama bado upo nyumbani unasubiri kuitwa/kupigiwa simu endapo huyo mwajiri amekamilisha taratibu zako za ajira(yaani umeungwa kwenye system ya payrol)

Hela za kujikimu ndio inategemeana na Mwajiri, kama yuko poa atalipa kwa wakati, kama ni miyeyusho basi mtajua mtiti wake
 
Naomba kuuliza , hivi huwa ni mpaka upigiwe simu au siku 14 za kusubiria zikiisha unaweza kwenda tu mwenyewe?

Mfano mimi nilivyoreport juzi juzi HR alisema hizo siku 14 ni za kusubiria hela ya kujikimu ukiona imechelewa unaweza kusubiria mpaka mshahara ukaingia,, lakini akasema hawalazimishi mtu kukaa nyumbani kama yeye anajiona anamzuka wa kazi unaweza kuanza tu kama hautaki kusubiria😄😀.

SWALI 1, Je kupata hizo pesa za kujikimu/mshahara ni mpaka akupigie simu au ikiingia unaweza kuona tu ukiwa bado nyumbani ndipo ukaanza safari ya kwenda?

2, Naomba pia kuuliza kuna watu waliowahi kupata pesa za kujikimu ndani ya hizo siku 14 kabisa kwa uaminifu? (Maana nasikia zinachelewaga sana na wengine wamekaa muda mrefu bila kulipwa)
Kama ni halmashauri subiri mshahara uingie ndio uende kuanza kazi, Ukitegemea pesa ya kujikimu utateseka mkuu.

Kuna watu wanaenda kustafu hizo pesa za kujikimu hawajawahi kupewa.
 
Waajiri wanatofautiana.

Wengine wanaharakisha michakato yote na kukamilika kwa wakati.

Wengine miyeyusho pia, wanachelewesha michakato.

Mshahara unaweza kupata hata kama bado upo nyumbani unasubiri kuitwa/kupigiwa simu endapo huyo mwajiri amekamilisha taratibu zako za ajira(yaani umeungwa kwenye system ya payrol)

Hela za kujikimu ndio inategemeana na Mwajiri, kama yuko poa atalipa kwa wakati, kama ni miyeyusho basi mtajua mtiti wake
sawa sawa nimeelewa 🙏
 
Nafasi inaweza ikawepo na isiwepo, kama watapata mtu ambaye haihitaji hizo process zote au ameshazikamilisha kwanini wamuache waendelee kukusubiri wewe??? Hii ndo Ile "Hoping for the best but expecting the worst"
Ikitokea wamepata mtu, hapo inakuwaje?
Tujaribu kushauriana
 
Me nilipata placement kwenye taasisi A mwez wa 12 mwaka jana nikiwa mtumishi wa umma tayari, Mwajiri mpya akanipa maelekezo kama uliyopewa wewe...Nimekuja kupata barua ya KM-Utumishi ya uhamisho July 2024 now nipo kwa mwajiri mpya. So cha kufanya push barua yako ya uhamisho iwahi kutoka utumishi usijali kuhusu nafasi.
Hapo kwenye kupush barua ndio changamoto kama huna mtu wa ndani utumishi. Simu wanapokea ila majibu ni yale yale kuwa mvumilivu inashughulikiwa
 
Back
Top Bottom