King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,145
- 4,293
Si wana wa sort watu wao waje kwa kazi.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Tusubiri labda jamaa atatu-bless baadaeWakuu hakuna pdf
Live mkuu tuendelee pia kuongeza receivedTusubiri labda jamaa atatu-bless baadae
Hakuna kuchoka mpaka tupateLive mkuu tuendelee pia kuongeza received
Ratiba yao Jumatatu ijumaaShwaaaaaa [emoji1786][emoji1786]
Kwahiyo leo uhakika sioRatiba yao Jumatatu ijumaa
Kwa maana hyo toka June mwaka Jana Leo ndio wametoa placement zake?Hizi Nafasi (ASSISTANT AIRPORTS SECURITY OFFICER)zilikuwa Tano mwaka jana june zilizotangazwa...
Leo Database imechomoa mara 3 ya Idadi...
Hongereni Mliolamba Asali
Ndio maana raia wanasisitizwa usiache kwenda kwenye usaili hata kama nafasi ni moja.Hizi Nafasi (ASSISTANT AIRPORTS SECURITY OFFICER)zilikuwa Tano mwaka jana june zilizotangazwa...
Leo Database imechomoa mara 3 ya Idadi...
Hongereni Mliolamba Asali
Hua nakata tamaa sana mmeitwa 100+ afu nafasi n moja hua inanikata moto sanaNdio maana raia wanasisitizwa usiache kwenda kwenye usaili hata kama nafasi ni moja.
Waliita watu kaziniKwa maana hyo toka June mwaka Jana Leo ndio wametoa placement zake?
Kumbe database inaweza kukupa maisha hivihivi.Waliita watu kazini
Hii ya leo ni Database .....
Hahawengine naona tunatafuta sindano baharini 🤣 🤣
Tunaposema hakikisha unafanya usaili hata kama nafasi ni moja, maana yake huwa ni hiyo.Hizi Nafasi (ASSISTANT AIRPORTS SECURITY OFFICER)zilikuwa Tano mwaka jana june zilizotangazwa...
Leo Database imechomoa mara 3 ya Idadi...
Hongereni Mliolamba Asali
Mambo ni magumu kila ukifungua pdf bilabilawengine naona tunatafuta sindano baharini 🤣 🤣