Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari Wakuu wote.... Naomba kuuliza je panel ya interview huwa ya watu wangapi??

Pia je sisi wemye ulemavu hasa kusikia (usikivu hafifu) huwa kuna hatua za kutusaidia kupima uwezo wetu kwenye oral??
Mwifwa
 
Naona Electrical degree Tushakuwa garbage ,Hadi bwawa la asali TAA nao wanatutema tu .
Wamesomba diploma tu hii pdf ya leo
Unaamini katika nguvu ya maneno katika kinywa chako/vidole vyako?

Ukijiita garbage, utakuwa kweli. Ukijiita one-off, utakuwa kweli. You are what you speak, thats what I believe.
 
Habari Wakuu wote.... Naomba kuuliza je panel ya interview huwa ya watu wangapi??

Pia je sisi wemye ulemavu hasa kusikia (usikivu hafifu) huwa kuna hatua za kutusaidia kupima uwezo wetu kwenye oral??
Mwifwa
Kwanza kwenye Profile yako umeonyesha ulemavu wako.

Panelist inakuwaga na watu wengi zaidi ya watano.

Kada gani kwani kiongozi maana wenye ulemavu wanapewaga kipaumbele
 
Habari Wakuu wote.... Naomba kuuliza je panel ya interview huwa ya watu wangapi??

Pia je sisi wemye ulemavu hasa kusikia (usikivu hafifu) huwa kuna hatua za kutusaidia kupima uwezo wetu kwenye oral??
Mwifwa
Ukifika eleza tatizo lako hawatashindwa kukufanyia usahili.

Tatizo kama lako njia pekee ni wao kukuandikia maswali then ukisoma swali utawajibu kwa kuongea kwa sauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…