Mkuu unatoboa, ukikosa maswali wanakuuliza meng zaid ujue umewakosha1. Tell us about your life history, schools and College
2. Objectives of perfomance Audit
3. Characteristics of good quality audit report
Haya ndio maswali ya general anayoweza kuulizwa kila mtu wa Audit.
Mengine kama 3 hivi yalihusu kqda yangu ya Afya kwenye kudeal na ishu za hospital.
Halafu wameniuliza maswali zaidi ya 5 aisee, maana kila nikimaliza kujibu wananipa lingine tena.
Muda wa mkando wote walinitengea dk 15
Hahahaaa.Hahaha, jana nilitaka tukuagize kuhakikisha ukirudi kutoka Dodoma uje na maelezo ya kutosha kuhusu Prok, kama ni mnene, mwembamba, mrefu, mweupe au mweusi. Kuhusu utamjuaje, hatujui.
Mimi nimejibu short tu maana akili niliyokuwa nimeiandaa kwa Intro, ilibadilika ghafla ndani ya chumba cha PanelHili linawigo mpana, actually linataka ujimwake wote..sema kikubwa mda ndo hauruhusu
App?Hatimae Jf imeanza kuleta Notification[emoji3][emoji3][emoji3]
Kiukweli majibu yote niliyotoa sio ya kukariri, mimi mwenyewe nashangaa sijui nilijibuje vile.
Swali la kwanza nilikuwa sijiamini hata ngeli hakunyooka, kuanzia swali la pili nikapata confidence na akili ikawa inacharge fast na kujibu haraka haraka.
Kuna maswali mengine nimejibu points zaidi 5 walizotaka wao, yaani walikuwa wananisikiliza hadi mimi niseme tayari na wananipa swali linalofuata
Angalau kila swali nililojibu naambullia hata nusu point aisee.Mkuu unatoboa, ukikosa maswali wanakuuliza meng zaid ujue umewakosha
Kwani kuingia kwenye kanzidata ndo kupoje mkuu?Daahh, bado hatuwezi kuhitimisha hili.
Niliokuwa nao oral, wako bright, mimi maombi yangu angalau niingie kanzi data.
Nilikandwa mara 3 mfululizo.
Sasa hii golden chance naiombea niwe angalau kanzi data maana hizi written zinatua nguo sana
Kinyang'anyiro ni kikali sana, tusubiri tu placements.IMEISHA HIO... [emoji41]
Ilipofika hapo ndipo mda ulipopata kazi. Jiandae kudaka mrija wa asali mkuu.
Kesho hiyo mkuu! Kumbe tupo wote? Tuombe MunguLoan officer heslb
Kwani kuingia kwenye kanzidata ndo kupoje mkuu?
Duh"Watakaoajiriwa MDAs & LGAs watatoka kwenye interview iliyofanywa ya NAOT. Hakutokua na interview ya MDAs & LGAs. Zile za TRA usitegemee kuzisikia tena mpaka mwakani watatangaza upya kazi" Nimenukuu kwa mtahiniwa mwenzangu jana
AmeeeenWiki hili huenda MDAs na LGAs zikatema ,Kwa kada nyinginezo...
OK sawa nimeelewa mkuu.Ndo nimefika mida si mrefu hapa Dom ngoja nijiweke sawa hiyo kesho.Maombi yenu.Usingekuwa speed tungeonanaKuwekwa akiba ukiwa ushafaulu Oral, nafasi za kada yako zikipatikana unapangiwa kituo cha kazi.
Mfano wewe kama ni Accountancy, ukafaulu Oral ya Kesho ila ukakosa nafasi, utawekwa akiba nafasi ya Accountancy ikipatikana popote utapangiwa akale Asali huko
ππππHahhhh mzee umeshatoboa kama mpaka ulichungulia pepa hahhhAhaa kumbe, hata hivyo niliona karatasi ya maswali ina jumla maswali 10, panelist aliyekuwa karibu yangu nilipiga chabo[emoji3][emoji3]
ππππUmetoboa mzee amini haya manenoHawajaniuliza.
Kuna swali moja la Afya lililenga kuverify kitu fulani ambapo naliingiza pia kwenye Auditing.
Halafu nilijikuta kila point ya swali la Auditing, nilimalizia na neno Auditing/Inspection.
Baadhi ya point panelists walikuwa wana node kichwa labda walikuwa wanaitikia mkando[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
πππMimi ile juzi walivyomaliza kunikanda wakasema niseme chochote basi nikawasifiaaaaaa nakuwashukuru nikawaaga nikala konaNiliahirisha swali langu baada ya kuona wamenipa maswali mengi, zaidi ya 5. Nikajisemea ngoja niondoke zangu. Pia nilizingatia wenzangu nao waingie maana tulichoka kupigwa jua nje
Hahhhhh kijana wa hovyo anataka kutoa siriπππππKidogo niite kwa sauti "Dada Prok" nikajisemea hapa nitavujisha shoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijali mkuu next time.OK sawa nimeelewa mkuu.Ndo nimefika mida si mrefu hapa Dom ngoja nijiweke sawa hiyo kesho.Maombi yenu.Usingekuwa speed tungeonana
Hahahaaa, ndio maana nimekuambia nimeona barua yako[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh mzee umeshatoboa kama mpaka ulichungulia pepa hahhh
Uhakika mzee unapofanikiwa sehemu wafanye na wengine wafanikiwaHapa ni nyumbani mkuu, siwezi kupasahau. Miongoni mwa watu waliokuwa outstanding hapa ni mimi.
Tumekandwa mara nyingi, tukaja hapa kuelezana, sikukimbia.
Leo hii nimefanya oral yangu ya kwanza na kuhitimisha application zangu za Utumishi kwa mwaka huu.
Tathmini ni kuwa nimepambana sana na kufikia hatua ya mwisho, na kumuachia mwamuzi sasa(placements).
Tukitusua, tusikimbie tuwe mentor kwa wengine. Imagine sahihi za utumishi zinafanyika kwa miaka mingi hadi sasa lakini ukitafuta muongozo huwezi kupata isipokuwa huu uzi, hapo ina maanisha watu wakishaingia kwenye mrija wanondoka na kusahau kutoa miongozo kwa wengine. Kwa sisi tuwe tofauti.
Sasahivi nimekuwa expert wa mambo ya PSRS mwanzo mwisho, haya madini sipaswi kupotea nayo itakuwa kosa endapo nikipotea nayo.
Tuishi mkuu