Mtoe TANESCO.NIMRI ,TPA , TANESCO, TACAID
Kwa kweli hizi ajira za sasa hv cjawah kuona mana zinamwagwa knoma japokuwa bado Cjapata inayonipasa2024/2025 tusipolamba asali tulio wengi basi hizi mbio za ajira bora tuwaachie wanetu😂😂 maana si nafasi hizi zinavyomwagwa kwa hasira
Lucas mwashambwa hapa huwa anasena watanzania wanabubujikwa na machozi ya furaha😀😀 mama amewafikia
Haya hapo hapo kwenye kutaka kushiriki database ina uhai wa mwaka kabla ya mwaka kuisha taasisi hiyo hiyo inatangaza nafasi hiyo hiyo.Kuna taasisi wanataka kushiriki kupata candidate wanayemtaka wao, hawapokei mtu kutoka kwenye database. Hivyo huwa wanataka watu wao washiriki mchakato wa kupata watumishi wanaowataka wao. Ukiona umepangiwa taasisi nzuri kutoka database ujue walikuwa na uharaka.
Ndio maana wengi kwenye database wanapelekwa LGAs a.k.a halmashauri
Nakubaliana na wewe.Ingawa sio kweli hapo kwenye bold, MNH wanazidi kiasi hasa kwenye allowances ila kwa mshahara, gap ni around 300k only
Wakuu, huu mshahara wa PGSS 4.1 hivi ni sh. Ngapi? Bora huu au twende tu LGA ya TGS C. 😁
Ushapata kwenye PGSS??Wakuu, huu mshahara wa PGSS 4.1 hivi ni sh. Ngapi? Bora huu au twende tu LGA ya TGS C. 😁
PGSS4 852,000Wakuu, huu mshahara wa PGSS 4.1 hivi ni sh. Ngapi? Bora huu au twende tu LGA ya TGS C. 😁
Unakuta hapo huyo PGSS take home yake inakuja kukaa hapo kwenye TGS 😂PGSS4 852,000
TGS C 580,000🥴🥴
Kabisa itacheza kwenye 55 to 60Unakuta hapo huyo PGSS take home yake inakuja kukaa hapo kwenye TGS 😂
Hapana sija apply ndio imetoka ya NIT.Ushapata kwenye PGSS??
Kama unauliza tuu basi apply jiandae na usaili mengine yatafuata baadae ila kama umepata nemda karipoti utaona kilichoandikwa kwenye mkataba wako
Asante sana.PGSS4 852,000
TGS C 580,000🥴🥴
Unaulizia pilau harusini [emoji23][emoji23]Wakuu, huu mshahara wa PGSS 4.1 hivi ni sh. Ngapi? Bora huu au twende tu LGA ya TGS C. [emoji16]
Nilikuwa na maana taasisi huwa zinataka HRs wao washiriki ili wapate watu ambao ni competence na wanaoona wao watawafaa zaidi, kwenye panel ya interviwers huwa kuna HR na mtaalamu husika kutoka taasisi inayotaku kuajiri.Mkuu japo umenikatishaa tamaa na comment yako apo juu nimeunganisha matukio sana any way ngoja lkn nikatest mitambo interview yangu ya kwanza
Hapo Tufanye NHIF Walitangaza ajira ya IT officer mwaka haujaisha wakatangaza ajira kada hiyo hiyo.Nilikuwa na maana taasisi huwa zinataka HRs wao washiriki ili wapate watu ambao ni competence na wanaoona wao watawafaa zaidi, kwenye panel ya interviwers huwa kuna HR na mtaalamu husika kutoka taasisi inayotaku kuajiri.
Sina maana kuwa wana mtu wao ambaye wanataka kumpitisha bila kuwa na vigezo. Ukijiandaa vizuri unakula asali. Best wishes
hayo majamaa ukiyafatilia unaweza kupasuka kichwaHapo Tufanye NHIF Walitangaza ajira ya IT officer mwaka haujaisha wakatangaza ajira kada hiyo hiyo.
Na wana database.
Hii tunaitaje.
Mimi nadhani ni interest za mwajiri mwenyewe kupata hela ya kufanyisha usaili