Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

2024/2025 tusipolamba asali tulio wengi basi hizi mbio za ajira bora tuwaachie wanetu😂😂 maana si nafasi hizi zinavyomwagwa kwa hasira
Lucas mwashambwa hapa huwa anasena watanzania wanabubujikwa na machozi ya furaha😀😀 mama amewafikia
Kwa kweli hizi ajira za sasa hv cjawah kuona mana zinamwagwa knoma japokuwa bado Cjapata inayonipasa
 
Kuna taasisi wanataka kushiriki kupata candidate wanayemtaka wao, hawapokei mtu kutoka kwenye database. Hivyo huwa wanataka watu wao washiriki mchakato wa kupata watumishi wanaowataka wao. Ukiona umepangiwa taasisi nzuri kutoka database ujue walikuwa na uharaka.

Ndio maana wengi kwenye database wanapelekwa LGAs a.k.a halmashauri
Haya hapo hapo kwenye kutaka kushiriki database ina uhai wa mwaka kabla ya mwaka kuisha taasisi hiyo hiyo inatangaza nafasi hiyo hiyo.
 
Ingawa sio kweli hapo kwenye bold, MNH wanazidi kiasi hasa kwenye allowances ila kwa mshahara, gap ni around 300k only
Nakubaliana na wewe.

Lakini MNH Allowance ni lazima.

Overtime zipo.

Na mshahara nimezidiwa laki 3.

Plus bima nzuri kama JKCI.

Njoo sasa halmashauri ya sumbawanga upangiwe kituo cha afya X.

No allowance.
No overtime.

Boss wako diwani.

Vijana wa uvccm wanakujambisha.

Mwanakijiji leyman anajifanya anakufundisha kazi.

Hauna cha off wala sikukuu wala weekend.

Ukiomba kusoma DED hapitishi barua yako.

Bado DMO anataka anyenyekewe.

Katibu anagombea hela ya BF.

ukisema ukakope ununune kagari hela yako wanakuona unaringa wanakupeleka maporini zaidi
 
Mkuu japo umenikatishaa tamaa na comment yako apo juu nimeunganisha matukio sana any way ngoja lkn nikatest mitambo interview yangu ya kwanza
Nilikuwa na maana taasisi huwa zinataka HRs wao washiriki ili wapate watu ambao ni competence na wanaoona wao watawafaa zaidi, kwenye panel ya interviwers huwa kuna HR na mtaalamu husika kutoka taasisi inayotaku kuajiri.

Sina maana kuwa wana mtu wao ambaye wanataka kumpitisha bila kuwa na vigezo. Ukijiandaa vizuri unakula asali. Best wishes
 
Hapo Tufanye NHIF Walitangaza ajira ya IT officer mwaka haujaisha wakatangaza ajira kada hiyo hiyo.

Na wana database.

Hii tunaitaje.

Mimi nadhani ni interest za mwajiri mwenyewe kupata hela ya kufanyisha usaili
 
hayo majamaa ukiyafatilia unaweza kupasuka kichwa
 
Back
Top Bottom