Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Yah ilikuwa miezi sita zamani ,Kumbe kanzidata ni miezi sita bhana [emoji23]
OK. Inawezekana mana hy pdf n ya 2021Yah ilikuwa miezi sita zamani ,
Ila muda mrefu walishabadilisha ikawa mwaka na walisema hata nikiwa pale migiro nafanya oral.
Kingine kwa Trending ya Mwezi uliopita Imejidhihirisha Database ni Zaidi ya mwaka maana ukions ile trending wamechukua watu wa June,April hadi January 2023 sawa na mwaka na nusu.
Itoshe kusema Utumishi kwa sasa wanafanya kile wanachojisikia ila database ni mwaka constant
Ndo hivyo Database ni One year Kwa mtu aliyebahatika kufanya oral currently anaweza kuwa na ushahidi Juu ya hiliOK. Inawezekana mana hy pdf n ya 2021
Miezi mingapi sasa?Jamani mbona TCRA hawaiti watu mi nimechoka kusubiri
Toka mwezi wa sita mpaka leo yaani miezi karibu miwiliMiezi mingapi sasa?
Watu wana received ya mwaka wako kimya we miez miwil!!!Toka mwezi wa sita mpaka leo yaani miezi karibu miwili
Huwa inachukua zaidi ya miezi miwili baada ya deadline ya kutuma maombi. Kuwa mpole mtaalamu wa IT. Subira ni ibadaJamani mbona TCRA hawaiti watu mi nimechoka kusubiri
Miezi 2 hadi Sita kuna mudaHuwa inachukua zaidi ya miezi miwili baada ya deadline ya kutuma maombi. Kuwa mpole mtaalamu wa IT. Subira ni ibada
Maelezo hayajajitosheleza umebase Upande wako tu mkuuWAKUU MSAADA KUNA CHUO KIMOJA CHA AFYA KIMESHIKILIA CHETI CHA FORM 4 CHA RAFIKI YANGU YEYE KAMALIZA MWAKA 2021 DIGRII YA UALIMU HATAKUOMBA KAZI KASHINDWA HANA SOFT COPY NA HATA ANGEKUA NAYO ASINGEKUA NA ORIGINAL YA KWENDA NAYO KWENYE USAILI, HICHO CHUO KINATAKA KULIPWA LAKI 4 NA JAMAA ALIOMBWA CHETI NA WATU WA CHUO KWAAJILI YA KUFANYA UHAKIKI TU NECTA LAKINI NDO WAMEKISHIKILIA HADI SASA HAWATAKI KURUDISHA ADA YA SEMESTER NI 750000 JAMAA ALILIPA 350000 NA ALISOMA MWEZI NA NUSU ALIACHA KUTOKA HAKUNA NA ADA NA PIA HATA MITIHANI YA SEMESTER ALIZUILIWA ASIFANYE PIA
Hapo mkuu mpk ulipe hyo 400k...achangishe tu sehemu yyte alipeWAKUU MSAADA KUNA CHUO KIMOJA CHA AFYA KIMESHIKILIA CHETI CHA FORM 4 CHA RAFIKI YANGU YEYE KAMALIZA MWAKA 2021 DIGRII YA UALIMU HATAKUOMBA KAZI KASHINDWA HANA SOFT COPY NA HATA ANGEKUA NAYO ASINGEKUA NA ORIGINAL YA KWENDA NAYO KWENYE USAILI, HICHO CHUO KINATAKA KULIPWA LAKI 4 NA JAMAA ALIOMBWA CHETI NA WATU WA CHUO KWAAJILI YA KUFANYA UHAKIKI TU NECTA LAKINI NDO WAMEKISHIKILIA HADI SASA HAWATAKI KURUDISHA ADA YA SEMESTER NI 750000 JAMAA ALILIPA 350000 NA ALISOMA MWEZI NA NUSU ALIACHA KUTOKA HAKUNA NA ADA NA PIA HATA MITIHANI YA SEMESTER ALIZUILIWA ASIFANYE PIA
BASI NIWEKE KWA MFANO WA SWALI JE NI SAHIHI CHUO KISHIKIRIA CHETI AMBACHO HAJAKITOA WAO KAMA CHA FORM 4 AU 6 KISA UMESHINDWA KULIPA ADA?Maelezo hayajajitosheleza umebase Upande wako tu mkuu
AKIENDA JUU HUKO AWEZI PATA MSAADA MAANA JAMAA KACHOKA KACHAKAA ANAUZA MAJI KWENYE BAISKELIHapo mkuu mpk ulipe hyo 400k...achangishe tu sehemu yyte alipe
Atafute mdhamini au kitu akaweke dhamana..yaani ni ngumu kupata bila pesa yao hao jamaa atatumia gharama kubwa sanaAKIENDA JUU HUKO AWEZI PATA MSAADA MAANA JAMAA KACHOKA KACHAKAA ANAUZA MAJI KWENYE BAISKELI
Leo jamaa katoa jpili...Kuna pdf huko.
Leteni shuhuda
Bado mapema chief kuwa mvumilivu sometimes uchukua miezi ata mi 5 hamjaitwa usaili , uliomba post gani??Jamani mbona TCRA hawaiti watu mi nimechoka kusubiri
Yeah kuna moja mm niliitwa baada ya miezi 6 ndo majina yakatoka kwenda kwenye usaili wa written😀😀Miezi 2 hadi Sita kuna muda