Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Yah ilikuwa miezi sita zamani ,Kumbe kanzidata ni miezi sita bhana [emoji23]
Ila muda mrefu walishabadilisha ikawa mwaka na walisema hata nikiwa pale migiro nafanya oral.
Kingine kwa Trending ya Mwezi uliopita Imejidhihirisha Database ni Zaidi ya mwaka maana ukions ile trending wamechukua watu wa June,April hadi January 2023 sawa na mwaka na nusu.
Itoshe kusema Utumishi kwa sasa wanafanya kile wanachojisikia ila database ni mwaka constant