Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari zenu nimeitwa kwenye interview katika kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura kama mwendeshaji wa kifaa cha biyometriki naombea kujua maswali yanayo ulizwa
 
Na bado hujasema , mpaka hicho cheti chako cha Electrical ukifungie kabatini 🤣🤣🤣🤣
Twende tukapige kozi ya kilimo na mifugo au librarian au upishi Engineer mwenzangu
Hahahahha yaan mpakaa tuseme tutakua tumekauka koo atar,hasa sie waumeme na database ya mwezi wa sita ndio wanamalizia malizia ivooo hehehe
 
Hahahahha yaan mpakaa tuseme tutakua tumekauka koo atar,hasa sie waumeme na database ya mwezi wa sita ndio wanamalizia malizia ivooo hehehe
Yaani aisee ni pasua kichwa ,hivi kuna Electrical au Mechanical engineer humu jamii forum alishatoboa kupitia utumishi ? 🤣🤣🤣🤣
Maana ni ndoige za hatari
 
Wakuu nilikuwa napitia pdf nikakuta kumbe jina langu limo kwenye pdf ya mwezi wa 7 yaani mwezi ushakata make nilikuwa na majukumu sikuwa napitia website ya utumishi. Vipi nikienda utumishi wanaweza kunipa barua na nikaripoti kazini au ndo nimepoteza ajira kabisa.

Na je mtu usipoenda kuchukua barua na ikatokea kazi my nyingine unaweza kuomba?

Ambaye asha-experience issue kama ya kwangu naomba anipe mwongozo.
 
Duuh hii ni special Cases hizi database zitatua.


Wakuu njoeni tujadili
 
tafuta ile pdf ya ajira portal,ila navojua ikiwa hujafata barua ndani ya wiki 2 unatumiwa kupitia address yako ulipo ila zikipita siku au sijui miezi 2 nafasi anapatiwa mtu mwengine,chakufanya nenda ofisi ya posta au ofisi ya sekretarieti ya ajira kupata taarifa kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…