Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu pambana mshirikishe tu alfa na omega hashindwi kitu utukufu na vyote ni vyakenilisoma electrical
Hahahahha yaan mpakaa tuseme tutakua tumekauka koo atar,hasa sie waumeme na database ya mwezi wa sita ndio wanamalizia malizia ivooo heheheNa bado hujasema , mpaka hicho cheti chako cha Electrical ukifungie kabatini 🤣🤣🤣🤣
Twende tukapige kozi ya kilimo na mifugo au librarian au upishi Engineer mwenzangu
🤣 🤣 kumbe upoHahahahha yaan mpakaa tuseme tutakua tumekauka koo atar,hasa sie waumeme na database ya mwezi wa sita ndio wanamalizia malizia ivooo hehehe
😂Asante kwa ushauri lakini mm nmemalza chuo mwaka huu, kazi nayofukuzia tutorial assistant nkikosa natafuta scholarship ulaya
Bado Sijalamba asali Engineer oh,hapa ukiniona kimya ujue sina bando jua linaniwakia atar🤣 🤣 kumbe upo
🤣 🤣 🤣 🤣 dahh. omba za TAA na temesa hizi ukapambane wewe si uko dom you never know..Bado Sijalamba asali Engineer oh,hapa ukiniona kimya ujue sina bando jua linaniwakia atar
Nshaomba Eng. Hahahah nasubir nikawakandee hawataamin🤣 🤣 🤣 🤣 dahh. omba za TAA na temesa hizi ukapambane wewe si uko dom you never know..
🤣 🤣 🤣 lazima walipe garama za usumbufu sio.🤣🤣Nshaomba Eng. Hahahah nasubir nikawakandee hawataamin
Yaani aisee ni pasua kichwa ,hivi kuna Electrical au Mechanical engineer humu jamii forum alishatoboa kupitia utumishi ? 🤣🤣🤣🤣Hahahahha yaan mpakaa tuseme tutakua tumekauka koo atar,hasa sie waumeme na database ya mwezi wa sita ndio wanamalizia malizia ivooo hehehe
Duuh hii ni special Cases hizi database zitatua.Wakuu nilikuwa napitia pdf nikakuta kumbe jina langu limo kwenye pdf ya mwezi wa 7 yaani mwezi ushakata make nilikuwa na majukumu sikuwa napitia website ya utumishi. Vipi nikienda utumishi wanaweza kunipa barua na nikaripoti kazini au ndo nimepoteza ajira kabisa.
Na je mtu usipoenda kuchukua barua na ikatokea kazi my nyingine unaweza kuomba?
Ambaye asha-experience issue kama ya kwangu naomba anipe mwongozo.
labda 1500 B.C ukoYaani aisee ni pasua kichwa ,hivi kuna Electrical au Mechanical engineer humu jamii forum alishatoboa kupitia utumishi ? 🤣🤣🤣🤣
Maana ni ndoige za hatari
tafuta ile pdf ya ajira portal,ila navojua ikiwa hujafata barua ndani ya wiki 2 unatumiwa kupitia address yako ulipo ila zikipita siku au sijui miezi 2 nafasi anapatiwa mtu mwengine,chakufanya nenda ofisi ya posta au ofisi ya sekretarieti ya ajira kupata taarifa kamili.Wakuu nilikuwa napitia pdf nikakuta kumbe jina langu limo kwenye pdf ya mwezi wa 7 yaani mwezi ushakata make nilikuwa na majukumu sikuwa napitia website ya utumishi. Vipi nikienda utumishi wanaweza kunipa barua na nikaripoti kazini au ndo nimepoteza ajira kabisa.
Na je mtu usipoenda kuchukua barua na ikatokea kazi my nyingine unaweza kuomba?
Ambaye asha-experience issue kama ya kwangu naomba anipe mwongozo.
Waje watoe mwongozo make nipo njia pandaDuuh hii ni special Cases hizi database zitatua.
Wakuu njoeni tujadili
🤣🤣🤣🤣labda 1500 B.C uko
Aiiii wataomba poo mbona🤣 🤣 🤣 lazima walipe garama za usumbufu sio.🤣🤣
kuna jamaa juzi aliipost ule muongozo upo juuu hukoWake watoe mwongozo make nipo njia panda