Ndiyo unabadilisha na kuchagua tena, cha msingi ni kwenda na muda tu...unaweza badilisha jibu ulilokosea kadri uwezavyo.Mkuu
Samahani
Mkuu kama ikitokea umechagua jibu Kisha baadae ukatambua umechagua jibu ambalo sio sahihi JE unaweza kubadilisha na kuchagua tena ?
Wakuu kwa mfano kama address ya barua nimeandika sanduku la posta ya Dar halafu naishi Zanzibar kwenye profile details naweza fanyia online test zanzibar au inakuaje hapo?!
kwa kawaida pdf likitoka unapewa siku 7 za kwenda kuchukua barua, siku 14 za kuripoti ktk kituo chako cha kazi jumla zinakua siku 21Nimeona kwenye muongozo wametaja siku 14 kuripoti kazini
hawaangalii adress ya barua wanaangalia adress ya kwenye profile yakoWakuu kwa mfano kama address ya barua nimeandika sanduku la posta ya Dar halafu naishi Zanzibar kwenye profile details naweza fanyia online test zanzibar au inakuaje hapo?!
Hayo mambo yapo lakini sio ya kuyaendekeza sanaHivi wakuu mtu akisema amepata kazi kwa kutumia iman za kiganga unaweza kuamini...?
Pdf za kuitwa kazini, Interview na JOB post ndio zinachangamsha uziJobless mnalala mnapata wapi izo nguvu jamani kupo kimya sana umu.
Sawa mkuuPdf za kuitwa kazini, Interview na JOB post ndio zinachangamsha uzi
Utumishi watakupa stress broo.IT tuwekee pdf la kufungia week...tulale na matumaini
😂😂nikajuaga ni mbombongafummeongezewa na tabora.what kind of love is this bomboclat..
Pdf ukisema ufuatilie ni full of stress kikubwa tuishimmeongezewa na tabora.what kind of love is this bomboclat..
yaani mtu kama sio mzoefu unaweza ukajitundika 🤣 🤣Pdf ukisema ufuatilie ni full of stress kikubwa tuishi
Mm nshawapotezea kiukweli ile level ya Excited mood imeshaisha.yaani mtu kama sio mzoefu unaweza ukajitundika [emoji1787] [emoji1787]