De Professor
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 237
- 505
Acha uongo, jibu la kweli niliwapaMzee utumishi wanakula perdeim wamesambaa mikoa yote Tz nadhani ukitaka Pdf kuanzia 12/9
Imebaki Leo Prof.Leo na Kesho muwe na bandle la kutosha.
Trust the process
TusubirImebaki Leo Prof.
Nisipoona Pdf leo namuoa dada yakoAcha uongo, jibu la kweli niliwapa
Mkuu application au website gani inatoa additional notes za kujisomea mkuuMnaoendelea kujiandaa na mikando, zingatieni maelekezo yanayoemdelea kutolewa na PSRS.
Kutoelewa maelekezo kunakufanya ujitoe kwenye kinyang'anyiro mapema
Hakuna hiyo ishu zaidi ya material ya kawaida ya kada yako.Mkuu application au website gani inatoa additional notes za kujisomea mkuu
Mkuu TANAPA ilikuaje hujatoa uzoefuOral (02)
Received (01)
Still waiting 🤔
😁😁Tanapa ilikua balaa, na katika hizi saili za PSRS kama kuna mtu bado yupo chuo, ajitahidi kutunza sana notice na awe mwepesi wa kuzijua terminology ngumu ngumu maana swali linaweza kuwa laisi saaana ila ukashindwa lijibu kwa kushindwa kulielewa na kuhusu vipimo vya afya 😅 huko ndo kuna balaa kama una matatizo ya magonjwa, hasa magonjwa sugu kama VVU,KANSA N.K, lakini pia wenye makovu makubwa, ambao walishawahi kufanyiwa operesheni, kikubwa wao wanataka mtu aliekamilika na ukaguzi unafanyika mwili mzima, kuhusu placement sijui kikubwa ni kumuomba mwenyezi mungu tu maana huwezi jua wenzagu walijibu kivipiMkuu TANAPA ilikuaje hujatoa uzoefu
Sasa si wa political sciance inakuwaje practice wakati vitu vingi ni nazalia sanaHakuna hiyo ishu zaidi ya material ya kawaida ya kada yako.
-Stick kwenye mambo ya practice ga kada yako
-Pitia module za Chuo hasa zinazohusu Practice
-Pitia Job descriptions zichimbe kwa undani, humo kuna maswali
Hiyo hiyo nadharia ina practice yake.Sasa si wa political sciance inakuwaje practice wakati vitu vingi ni nazalia sana
Wala usipate tabu mtihani wa psrs upo kwenye job deecriptions ya post uliyoombaSasa si wa political sciance inakuwaje practice wakati vitu vingi ni nazalia sana
Sawa mkuuHiyo hiyo nadharia ina practice yake.
Elewa kuwa kila kada ina practise yake.
Hata hivyo nimesema tembea na Job descriptions, kuna maswali humo, ukiona practice ya kada yako huielewi, tembea na Job Descriptions
Nouma mzeeShwaaaaah
Yn mpaka watu wa afya na waalimu wamalize mambo yao, aisee sisi wngn tuwe wapole mpaka mwezi wa 11 ndio tutaanza kukumbukwa.Kwahiyo sasa hivi utumishi wamesambaa kalibia nchi nzima kwenye usaili huu wa Afya?🤔