Thanks mkuuHadi uwe na master
Hii ID mpya huenda ndo Katibu wa psrsWalimu pdf lao soon linakuj wakae mkao wa kula, kuna dalili kubwa sana kukawa na mapumziko yasiyozidi cku tatu baada ya usaili wa mahojiano kada ya afya kumalizika tarehe 13 sept ,ni mwendo wa kubandika bandua hili nalo liishe watu wadeal na ratiba zingne , taifa lina mambo mengi ya kufanya nackia hata education kuna masomo watakuwa na usaili wa mahojiano tu, kama ilivyokuwa kwa baadhi ya kozi za afya
Itakuwa safi sanaWalimu pdf lao soon linakuj wakae mkao wa kula, kuna dalili kubwa sana kukawa na mapumziko yasiyozidi cku tatu baada ya usaili wa mahojiano kada ya afya kumalizika tarehe 13 sept ,ni mwendo wa kubandika bandua hili nalo liishe watu wadeal na ratiba zingne , taifa lina mambo mengi ya kufanya nackia hata education kuna masomo watakuwa na usaili wa mahojiano tu, kama ilivyokuwa kwa baadhi ya kozi za afya
Received za kutosha mwaka huu...Tukaongeze received huko wakuu then tusubir usaili mwakani 😎
Mpaka uchaguzi uishe watu wote humu tutakuwa ofisini na huu uzi utakuwa na raia wapya kutoka vyuoni.Received za kutosha mwaka huu...
jiiiiiipe mooooyoo utaaayashiindaaaMpaka uchaguzi uishe watu wote humu tutakuwa ofisini na huu uzi utakuwa na raia wapya kutoka vyuoni.
N kama ww tuu unavyojipa imani utakuwepo kwenye pdf kupitia database wakat makampuni hawataki kuajiri na ambayo wanataka kuajiri wanataka process ya usaili iwepo upyajiiiiiipe mooooyoo utaaayashiindaaa
PSRS wapo bize wananyonya per diem, kuwa mpole mzee, mpaka kada za Afya na Ualimu wamalizane nao.UTUMISHI Tumewakosea nini!!!!
Ahadi zenu mpaka kufika December hazioneshi mafanikio kwa Vijana mmezikalia nafasi hizo zilizopitishwa..
ndugu yangu hizi ajira nimeshaona sio mimi sio wewe hatutoboi ng'o kama vipi tukachome mkaa tu tukimbizane na maliasili 🤣 🤣 🤣N kama ww tuu unavyojipa imani utakuwepo kwenye pdf kupitia database wakat makampuni hawataki kuajiri na ambayo wanataka kuajiri wanataka process ya usaili iwepo upya
Cha msingi hapa n kuwa majambazi tuundugu yangu hizi ajira nimeshaona sio mimi sio wewe hatutoboi ng'o kama vipi tukachome mkaa tu tukimbizane na maliasili 🤣 🤣 🤣
ambao wamepata kazi wamshukuru mungu aiseee hapa hakuna jipya tena 🤣 🤣Cha msingi hapa n kuwa majambazi tuu
Na ukipata kazi unabadilika na kuanza kulalamika mshahara mdogo wakat kabla hujapata kazi ulikuwa unatamani hata kazi ya 80k kwa mwezi.ambao wamepata kazi wamshukuru mungu aiseee hapa hakuna jipya tena 🤣 🤣
😂😂😂Na ukiongezewa mshahara unaanza kuwa mtoro wakati kwenye barua ya kuomba kazi ulisema utafanya kazi nidhamu ya hali juu bila utoroNa ukipata kazi unabadilika na kuanza kulalamika mshahara mdogo wakat kabla hujapata kazi ulikuwa unatamani hata kazi ya 80k kwa mwezi.
C tumekubaliana serikalini hakuna kufukuzwa kazi, n ww tuu na utovu wako wa nidhamu Boss atakuvumiliana ukiwa mtoro unafukuzwa kazi unakuwa tondola jobless mbwa..
kama ndo ivo wakiniajili nitakua naenda ijumaa tu 🤣 🤣C tumekubaliana serikalini hakuna kufukuzwa kazi, n ww tuu na utovu wako wa nidhamu Boss atakuvumilia