ππππYamekuwa hayo tena?Nmeghairi kusoma mana nasoma hadi nasahau
Njoo tusome woteπNmeghairi kusoma mana nasoma hadi nasahau
Jobless mwenzangu kila siku unaniwahi nakuni overtakeNjoo tusome woteπ
Jobless mwenzangu kila siku unaniwahi nakuni overtake
Unanionea sana kwenye hizi harakati za utelezi π€£π€£ mwanasheria umembeba na mhasibu naye ndugu yangu tugawane basiπππππkazi nisipate hata utelezi nao nikose mzee?nafanya juhudi hahhh
Bro unajipigia sana mapande, vijana wanasema unajipakulia tu minyama...Njoo tusome woteπ
πππmwanasheria atanifunga bure aseeh anahela yule nitamuwezea wapi Bora wewe unakazi ,nasikia umenunua kasubaru mzeeUnanionea sana kwenye hizi harakati za utelezi π€£π€£ mwanasheria umembeba na mhasibu naye ndugu yangu tugawane basi
πππππHahhhhhh nimemwambia aje tusome afu hatakiBro unajipigia sana mapande, vijana wanasema unajipakulia tu minyama...
Ziweke kwa kiingereza cha watakwimu afu zitume ili watu wakusaidie kiurahisi ukiziweka hivyo watu wanaona uvivu kuanza kutranslateMwenye idea apo niguse sehem gani
Sawa ngoja nitranslateZiweke kwa kiingereza cha watakwimu afu zitume ili watu wakusaidie kiurahisi ukiziweka hivyo watu wanaona uvivu kuanza kutranslate
Nimeagiza Crown π mzeee. πππππ
πππmwanasheria atanifunga bure aseeh anahela yule nitamuwezea wapi Bora wewe unakazi ,nasikia umenunua kasubaru mzee
Sijui ningeita "Prok" maana kigugumizi kilitangulia.
Pale tulipokuwa tumekaa/tumesimama kwenye Tent mida ya mchana, mliitwa mkaanza kuitana na kuelekea upande wa Magharibi, mlitokea kwenye kale kaCafe mkatupita hapo mbele, mkawa mnaitana. Kuna wanaume walikuwa wamekaa nyuma ya Tent mmoja akaenda kuwaita, mimi muda huo ninapiga jicho la ukweli nikiwaza na kuwazua kuwa "Prok ni yupi hapa"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Placement haitoki Leo watu wapo bize na usail mkuuWazee wa placement mpooooo
Weeee naijua iyooooo[emoji23]Njoo tusome wote[emoji23]
Hapo naona wattoa pamoja na hizi saili za NAOT na HELSBPlacement haitoki Leo watu wapo bize na usail mkuu
STATISTICIAN II.Ziweke kwa kiingereza cha watakwimu afu zitume ili watu wakusaidie kiurahisi ukiziweka hivyo watu wanaona uvivu kuanza kutranslate
πππππHahhhhh Mwifwa njoo unipe detail hapa nimtafute mtoto mkalii Prok
ππππNjoo tusome achana na mambo yakujua hahhhh utakosa kazi hivi hivi na uwezo unao wakupata πWeeee naijua iyooooo[emoji23]