Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi Utumishi mbona Hawatoi sehemu ya placement na wana Database ya kutosha
 
Hivi Utumishi mbona Hawatoi sehemu ya placement na wana Database ya kutosha
Mimi binafsi uwaga nikifanya oral na nisipoitwa wakaitwa mwenzangu kazini naesabug kua nimeshindwa total na nianze upya, database siiwekagi akirini kabisaa kwa mambo kama aya, unakuta uko kwenye database lakini post yenye vigezo vile vile kwa kada uliyoomba awali na ikakufanya uingie kwenye database ila wanatangaza upya, hapo unajiuliza mchakato wa database ukoje na haupati majibu.
 
Upo kama mm, hakuna sababu ya kujitia stress kisa database
 
HIki kigezo cha umri kwa baadhi ya taasisi kipitiwe upya....naona TFS na kuna kigezo cha umri
 
Jobless nimekaa Geto then najishauri nije kwenye Uzi wetu labda nitakuta PDF mwisho na kutana na matusi nimejisikia vibaya kweli
Serikali ichukulie swala la ajira kua ni insue serious maana kua jobless+mikando+majuku yaliyotuzunguka alafu ukiangalia age inazid kusonga ndo yanatokea yoote ayaa.

Mtu kichwa mda woote kinakua kiko na nusu kaputi.. Ukikitikisa kidogo tu lazima kilipukee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…