Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii mbili ya El marabiosh halafu ile tatu ya Rahsully , na hapo walikuwa wamekaa wanaibiana majibu 🤣🤣🤣
Mimi ndio maana fedheha kama hizi nishazikataa , nikagoma kuomba
Nikaona niendelee na udalali mtaani
Hao kama walivyokutana walipeana namba na kuunga wasap group, sasa hv watakuwa wanachekana tuu 😂
 
Wale tulioitwa oral ya MJNUAT kesho na waliopiga leo karibuni mnipe uzoefu wenu, nisije choma nauli mpaka moro bure
Cheti cha kuzaliwa kikiwa kinasoma Johnpaul Anthony Mafwele

Halafu vyeti vya taaluma na Nida vikawa vinasoma John Anthony Mafwele. Ni tatizo?
 
Ndugu wakandaji wa PSRS punguzeni hasira na jobless na sisi tuna familia zinatutegemea jamani. Sio kwa matokeo haya. Yaani mpo radhi asipate asali mtu yeyote. SIJAPENDAView attachment 3098877
Kazi Ipo.....Lengo ni kupunguza utitiri wa Watu kukaa database ndo gear namba moja imeaza kwa Taasisi yataaza kutokea mikeka kama hiyo mbeleni tutegemee hilo .....
Inamaana watatoa Tangazo upya tena😀😀😀
Katibu Utumishi Onyesha Upendo kwa vijana wako tubless pdf nzito la Taasisi database angalau tupumue kitaa tupunguze msongo wa mawazo maana mnavyotupeleka siko kabisa!!!
Matumain ya Mama(Rais) kufika mwenzi 12 tuyaone kwa vijana wake alivyotuahidi.....
 
Watu wa afya karibu mikoa yote ratio ya kupambania nafasi 1 iliendana ,mfano kuna mikoa nafasi 1 watu 4 na mingine watu 5 mpaka 6 adi 7 yani hapa ndio kivumbi. Competition kubwa sana uko mikoani
Hii hasa hasa upande wa radiology ndo ilikuwa hivyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…