Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Hao kama walivyokutana walipeana namba na kuunga wasap group, sasa hv watakuwa wanachekana tuu 😂Hii mbili ya El marabiosh halafu ile tatu ya Rahsully , na hapo walikuwa wamekaa wanaibiana majibu 🤣🤣🤣
Mimi ndio maana fedheha kama hizi nishazikataa , nikagoma kuomba
Nikaona niendelee na udalali mtaani