Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

🤣🤣🤣🤣Engineer nilikua sina bando nyieee imekuaje jmn ni kweli hao ni umeme?? Kichwa changu kinaniuma jmn sa ntatokaje tokaje kwa staili iyo
Hali mbaya Engineer , Utumishi Wana hasira na Electrical Engineers ,tangia tulivyowatukana kwemye zile interviews za MDA kwa kuwaambia wao ni vilaza na hawajui hata kuongea English fluently
 
Ivi ikitokea umetuma barua ya maombi Kisha kwenye kipengele Cha kusaini ukaweka pembeni na sio katika ya ukurasa, JE inaweza pelekea usiitwe kwenye usahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…