Mi nasubir placement tuKwani mkuu unasubiri taasisi gani upo moto 🔥 🔥
Huyu naniView attachment 3102002Ebu fatilia vzur comment zangu mbona cjawah kutabir mm
Sas No SQL ndo mm au hujui kusoma majina
We kama nani?MDA n LGA waliopo database watafute nauli kabisa hizi halmashauri
Sas apo si naongelea pdf iliyotoka watu walete mrejesho, weee nawe umeanza kutumia Lin smart phone maana ata huelew
Unatukana mamba kabla hujavuka mto
Sio kweli vigezo na masharti kuzingatiwa!Sio harsh, sasa oral wapo watu 100, unaanza kusubiri mtu ajifikirie wakati swali basic....lakini watapita tu
matokeo ni kulingana na ufaulu wa wasailiwa wote tanzania nzima na ili ufaulu marks ni lazima zianzie 50 kwenda juu! Kwa hiyo kuna uwezekano mkoa wote msifaulu na waluofaulu watapangiwa kazi huo mkoa! Kwa hiyo ufaulu ndio utakupa kazi na aliyefaulu kushinda mwenzie anapewa kipaumbele!Matokeo ni kwa mkoa husika tu....wale walioenda bush uko watapenya mapema tu

Maisha yako sio maisha Yetu.Wakuu mtakuwa mnafanya maendeleo kweli?
Naona mnawaza kupangiwa vituo tu hizo kazi mnazofanya si mtakuwa mnazifanya kama geresha tu
Simpangii mtu ila ni bora ajira mkaziweka plan B, na kazi mnazofanya ziwe ndio plan A
Wewe ni sehemu ya utumishi au mpiga ramli kama wengine?Sio kweli vigezo na masharti kuzingatiwa!
matokeo ni kulingana na ufaulu wa wasailiwa wote tanzania nzima na ili ufaulu marks ni lazima zianzie 50 kwenda juu! Kwa hiyo kuna uwezekano mkoa wote msifaulu na waluofaulu watapangiwa kazi huo mkoa! Kwa hiyo ufaulu ndio utakupa kazi na aliyefaulu kushinda mwenzie anapewa kipaumbele!
Mkifeli wote wanaletwa wengine waliofaulu bila kujali mkoa!
Upo sahihi mkuu wangu ulikuwa ushauri tu ili mpunguze stress za ajiraMaisha yako sio maisha Yetu.
Shukuru Mungu hata kwa hiyo ajira uliyonayo.
Usitutoe kwenye reli
Achana nao mpka wafikishe limit ya umri ndio watajuaUpo sahihi mkuu wangu ulikuwa ushauri tu ili mpunguze stress za ajira
Stress za ajira zinatoa wengi mchezoni utakuta mtu kajiwekea mipango yake vizuri ndani ya mwaka ghafla ajira zinatangazwa anaacha mipango yake akiamini akipata atahamishwa hapo alipo na kupangiwa kituoAchana nao mpka wafikishe limit ya umri ndio watajua
By fire by force mpaka tuingie gavo🔥Naona motivation speaker mmeanza kazi...
Yaan mtu usome mpk chuo na mkopo juu alafu eti biashara ndogo ndogo iwe plan A yako..
Plan A ajira ...hapa mpk tutoboe
Achana nao Hao..Naona motivation speaker mmeanza kazi...
Yaan mtu usome mpk chuo na mkopo juu alafu eti biashara ndogo ndogo iwe plan A yako..
Plan A ajira ...hapa mpk tutoboe
Moja ya Lenngo kubwa hasa la wapenzi wa hili Group ni kuingia Serikalini nje na kutekeleza miradi na majukumu mengine hilo ndo la kwanza Ukiona Hatuendani na vile unavyotaka pita hivi.Stress za ajira zinatoa wengi mchezoni utakuta mtu kajiwekea mipango yake vizuri ndani ya mwaka ghafla ajira zinatangazwa anaacha mipango yake akiamini akipata atahamishwa hapo alipo na kupangiwa kituo
Kijana mwenzangu pambana ajira weka plan B hata kama unauza mishkaki weka hiyo kazi yako kuwa ni plan A