Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Attachments

  • Screenshot_20240921-141957~2.jpg
    Screenshot_20240921-141957~2.jpg
    35.4 KB · Views: 5
Sio harsh, sasa oral wapo watu 100, unaanza kusubiri mtu ajifikirie wakati swali basic....lakini watapita tu
Sio kweli vigezo na masharti kuzingatiwa!
Matokeo ni kwa mkoa husika tu....wale walioenda bush uko watapenya mapema tu
matokeo ni kulingana na ufaulu wa wasailiwa wote tanzania nzima na ili ufaulu marks ni lazima zianzie 50 kwenda juu! Kwa hiyo kuna uwezekano mkoa wote msifaulu na waluofaulu watapangiwa kazi huo mkoa! Kwa hiyo ufaulu ndio utakupa kazi na aliyefaulu kushinda mwenzie anapewa kipaumbele!
Mkifeli wote wanaletwa wengine waliofaulu bila kujali mkoa!
 
Wakuu mtakuwa mnafanya maendeleo kweli?

Naona mnawaza kupangiwa vituo tu hizo kazi mnazofanya si mtakuwa mnazifanya kama geresha tu

Simpangii mtu ila ni bora ajira mkaziweka plan B, na kazi mnazofanya ziwe ndio plan A
Maisha yako sio maisha Yetu.

Shukuru Mungu hata kwa hiyo ajira uliyonayo.

Usitutoe kwenye reli
 
Sio kweli vigezo na masharti kuzingatiwa!

matokeo ni kulingana na ufaulu wa wasailiwa wote tanzania nzima na ili ufaulu marks ni lazima zianzie 50 kwenda juu! Kwa hiyo kuna uwezekano mkoa wote msifaulu na waluofaulu watapangiwa kazi huo mkoa! Kwa hiyo ufaulu ndio utakupa kazi na aliyefaulu kushinda mwenzie anapewa kipaumbele!
Mkifeli wote wanaletwa wengine waliofaulu bila kujali mkoa!
Wewe ni sehemu ya utumishi au mpiga ramli kama wengine?
 
Achana nao mpka wafikishe limit ya umri ndio watajua
Stress za ajira zinatoa wengi mchezoni utakuta mtu kajiwekea mipango yake vizuri ndani ya mwaka ghafla ajira zinatangazwa anaacha mipango yake akiamini akipata atahamishwa hapo alipo na kupangiwa kituo

Kijana mwenzangu pambana ajira weka plan B hata kama unauza mishkaki weka hiyo kazi yako kuwa ni plan A
 
Moja ya Lenngo kubwa hasa la wapenzi wa hili Group ni kuingia Serikalini nje na kutekeleza miradi na majukumu mengine hilo ndo la kwanza Ukiona Hatuendani na vile unavyotaka pita hivi.

Ungekuja na mbinu za kutushauri kujiajiri basi ningekuona Una akili
 
Back
Top Bottom