sam mirror 1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 969
- 2,318
AmenNiliikosa hii, hongera sana, wewe ni miongoni mwa wengi ninao waombea kheri humu ndani.
Nenda ukafanikiwe.
Nasubir hizo za mda na lga kwa hamu sanaHello wafia pdf naona mmekata moto.
Wakimaliza saili za serikali ya mitaa waje walimu.
WajeMDA LGA.
Aisee mwakani kutakuwa na vilio na kusaga damu.
Ila Mimi nadhani nitakuwa kazini.
Inshallah
Hizi kaka nadhani wa 12 ....maana walimu laki 2 sio issue ya kitoto.Nasubir hizo za mda na lga kwa hamu sana
Huu Uzi nimejikuta naupenda kufatilia napenda kuuita wazee wa pdfHello wafia pdf naona mmekata moto.
Wakimaliza saili za serikali ya mitaa waje walimu.
WajeMDA LGA.
Aisee mwakani kutakuwa na vilio na kusaga damu.
Ila Mimi nadhani nitakuwa kazini.
Inshallah
Haiwezi kufikaHizi kaka nadhani wa 12 ....maana walimu laki 2 sio issue ya kitoto.
Ukiona walimu wameanza usaili pdf tusahau kwa muda maana katibu hatakuwa ofisini
Amen na iwe hivyoHaiwezi kufika
Wazee wa pdf tuko wengi sana Mimi huu Uzi uniboa kitu kimoja mtu akilamba asali anapotea kabisa harudi tenaHuu Uzi nimejikuta naupenda kufatilia napenda kuuita wazee wa pdf
Haipendezi inatakiwa wabakie Ili kuwatia moyo wengine Kama alivyo mdau Mmoja anaitwa mwifa kama sijakoseaWazee wa pdf tuko wengi sana Mimi huu Uzi uniboa kitu kimoja mtu akilamba asali anapotea kabisa harudi tena
N mambo yanabadilika tuu na sio kwamba wanapoteaWazee wa pdf tuko wengi sana Mimi huu Uzi uniboa kitu kimoja mtu akilamba asali anapotea kabisa harudi tena
Hata mm nikipata nitakuwa nashinda MMU nikabishane na wakina Gentamicin na rikiboyN mambo yanabadilika tuu na sio kwamba wanapotea
@mwifa appreciate broo unatutia moyo sana wasaka nyokaHaipendezi inatakiwa wabakie Ili kuwatia moyo wengine Kama alivyo mdau Mmoja anaitwa mwifa kama sijakosea
Wanahamia Uzi wa "Kwanini mshahara wa January umechelewa"😂Wazee wa pdf tuko wengi sana Mimi huu Uzi uniboa kitu kimoja mtu akilamba asali anapotea kabisa harudi tena
Wakitoka Hapo utaanzishwa wanaotaka kubadilisbana vituo vya kazi.Wanahamia Uzi wa "Kwanini mshahara wa January umechelewa"[emoji23]
Wengine wataanza kulalamika kupelekwa sehemu mbali na familia zao 😂Wakitoka Hapo utaanzishwa wanaotaka kubadilisbana vituo vya kazi.
Utakuja wa Mafao kwanini yanachelewa
Kimeumana mkuukuuuumamae utumishi
Leteni updates. Nini kimetokea, nipo kijijini huku nafanya udalali wa kuandaa mashambaKimeumana mkuu