PageNoteFound
Senior Member
- Aug 18, 2024
- 153
- 399
Swali la Uzi unalikumbuka.
Watu hawaongelei saili watu wanahoji.
Kuchelewa kuita watu kazini.
Huu uzi kuna mda unaongelea mambo nje ya agenda kuu ya uzi mfano mara kadhaa watu tumekua tuki discus kuhusu mishahara ya tahasis tofauti tofauti kwahyo kuna mda tuna peana majibu kulingana na swali usika sio kutokana na agenda kuu ya uzi.
Alafu ikumbukwe mtu kuitwa kazini inaanzia wapi? Process na mtu kuitw kazini inaanzia pale tangazo linapotoka na sis kutuma maombi..
Ndio maana umu kuna mtu anasema ana receive ya tokea mwezi wa 5 na ajaitwa sasa uyo asiongee kwaku bado ajaitwa kwa mahojiano?? Yaan aanze kulalamika baada ya kufika oral nakusubilia barua??