Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu kwema!
Hivi Idara/Vitengo gani huko LGA angalau maisha yanaweza kusogea..Hapa nadhani mtakuwa mmenielewa, Ingawaje huko LGA inaonekana kuna hela za moto sana, maana rada za namba tatu zinawadaka sana😎
 
Mimi nashauri ukiona umekaa database unakaribia mwaka bila kuitwa, achana na database anza kujipanga kwa ajili ya sahili nyingine
Hili swala ukiwa bado hujaingia kwenye mkando wa hawa Jamaa zaidi ya mala mbili oral huwezi kusema hivyo.. Kuna mda unawaza unajisemea kupotezeana mda na malengo ......
Japo...
Lengo la Utumishi kutoa haki wanachokwama sijui ni nn.....
Mama kama Mama amepitisha ajira 47,000( Serikali kuu)
Ngoja tuzidi kuwa Wavumilivu huenda mgawanyo wa PDF hili la Tanapa kuna Mema yanakuja( PDF kubwa linasukwa)...
 
Baadhi ya tasisi, idara, wizara na angency zina ushetani kama wa p-didy, hata hakuna huruma ivi nasikia watu na naona watu wanakaa zaidi ya mwaka kusubiri kuitwa kazini ili hali hata majibu yao ya oral(usahili wa mahojiano) hawajui maksi zao, kwani kuna siri gani angali hata Yesu hakuwa na siri kama hivi
mtu anasubili kuitwa kazini zaidi ya mwaka na hapo katika usahili wao waliyo fanya hajawai itwa kazini hata mmoja mfano mzuri watu wa Automobile Engineers toka mwezi wakumi na moja tarehe 4 hadi 8 oral yao hadi sasa kukavu na tangozo lao la ajira lilikuwa toka mwaka jana mwezi wa sita na watu wa mechanical engineers toka mwaka jana mwezi wa saba oral yao na waliingia moja kwa moja oral bila written na tangazo lao toka much mwaka jana na kuna kada zingine nyingi tu zinaitwa nusunusu utafikili kama maembe yanadondoka kutoka mtini kwa mafungu, huo ni unyanyasaji wa hakili za watu na ujinga wa watumishi mwenye mamulaka sio bora weseme waeingiza watu kwanjia flani tu ijulikane moja au wasitangaze ajira kama hawapo tayali kuwajiri watahiniwa hao kwa wakati, yaani inatia taharuki na mgogoro wa nafsi na ni mbaya sana bora hata upigane na mtu mangumi moyo unapumua na hasira zinapumua kuliko kuwa na mgogoro wa nafsi na mateso ya hakili dhidi ya ajira za serikalini
 
Baadhi ya tasisi, idara, wizara na angency zina ushetani kama wa p-didy, hata hakuna huruma ivi nasikia watu na naona watu wanakaa zaidi ya mwaka kusibilia kuitwa kazini ili hali hata majibu yao ya oral(usahili wa mahojiano) hawajui maksi zao, kwani kuna siri gani angali hata nyesu hakuwa na siri kama hivi, mtu anasubili kuitwa kazini zaidi ya mwaka na hapo katika usahili wao waliyo fanya hajawai itwa kazini hata mmoja mfano mzuri watu wa Automobile Engineers toka mwezi wakumi na moja tarehe 4 hadi 8 oral yao hadi sasa kukavu na tangozo lao la ajira lilikuwa toka mwaka jana mwezi wa sita na watu wa mechanical engineers toka mwaka jana mwezi wa saba oral yao na waliingia moja kwa moja oral bila written na tangazo lao toka much mwaka jana na kuna kada zingine nyingi tu zinaitwa nusunusu utafikili kama maembe yanadondoka kutoka mtini kwa mafungu, huo ni unyanyasaji wa hakili za watu na ujinga wa watumishi mwenye mamulaka sio bora weseme waeingiza watu kwanjia flani tu ijulikane moja au wasitangaze ajira kama hawapo tayali kuwajiri watahiniwa hao kwa wakati, yaani inatia taharuki na mgogoro wa nafsi na ni mbaya sana bora hata upigane na mtu mangumi moyo unapumua na hasira zinapumua kuliko kuwa na mgogoro wa nafsi na mateso ya hakili dhidi ya ajira za serikalini
Pole sana mpambanaji mwenzangu. Punguza jazba na hasira uandike kwa paragraph. Hata hivyo 'message sent'
 
Mwambie huyo dogo tatizo hawa vijana wanafikiri wanachat na watoto wenzao humu
Laiti wangejua humu kuna watu wakubwa kuna viongoz wao wangekuwa na nidhamu sana haya maisha bila kufahamiana na watu hutoboi hata kama ukipata ajira kuna mambo yako hayataenda kama huna nidhamu na kuheshimu watu

Mtu hamjuani unamtukana kumbe ni Boss wako
Mkuu taratibuu unaenda Kasi Sana.
 
Back
Top Bottom