Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

msabato uyo 🀣 🀣 🀣
Wasabato Wanaka Dunia kao yani wabishi sasa umkute ni muha au mjita wee...alafu mekumbuka mbali sana advance ijumaa ndo ilikuwa siku ya usafi so wasabato walikuwa wanatakiwa wafanye usafi mapema kabla ya sabato aisee Kwa ubishi huwawezi..watasingizia sabato Ili wasifanye usafi
 
Tunaposema enzi zetu uzi ulikuwa bora, wenye kutia matumaini, hamasa, faraja ilikuwa namna hii.

Hiyo comment itabaki kuwa comment bora zaidi kuliko zote nilizowahi kupost kwenye huu uzi

Mungu

Mungu anisaidie na mimi siku moja nije andika history kama hii.
 
Wakuu ,,,
Ila Tusiache Kumwamini na Mshukuru Mungu.
Kama unahisi Hauna mjomba serikalini wala shangazi wizaranj babu wa Ndumba.

Hata Ukinuna na kutoboa Pdf haitabadilisha uhalisia wa Maisha ni bahati na token yako iko sema ni ngumu kujua lini itawasili na kutokea.

Kinachotokea ni mapito na sehemu ya maisha husika.

Tuendelee kumwamini sana Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…