Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
Hahahah hawatoi tena pdf kwa hizo kada walizotoa labda hakuna uhutaji uko tamisemi,mbona wameandika muajiri ni wizara tu karibia woteInaitwa blessing in disguise. Baraka zinazokuja kama mkosi. Unapata marks ndogo oral wenzio wanapangiwa kazi we unatupwa database unaibukia NHIF na MSD. Unaanza kupita pita Befoward na kutembelea page za madalali wa viwanja.
Hahahah hawatoi tena pdf kwa hizo kada walizotoa labda hakuna uhutaji uko tamisemi,mbona wameandika muajiri ni wizara tu karibia wote
Siyo lazima! Inategemea pia uongozi wa Mungu pia wakati wa maandalizi!! uliposoma ndipo walipotoa!Hao ndio wale vipanga. Hawajui hastle za database
Wizara inasimamia Hospitali za mikoa na hospital za rufaa!!Hahahah hawatoi tena pdf kwa hizo kada walizotoa labda hakuna uhutaji uko tamisemi,mbona wameandika muajiri ni wizara tu karibia wote
Unapangiwa kule ulikoomba!! Hupangiwi kutegemea marks za usaili!Bahati hizi za kimasikhara.
Ukute hawa ndio walipata marks za kawaida kwenye Oral na ndio walikuwa wanaenda kukaa Database.
Nina Imani wale walioperforme vizuri Oral tayari washapangiwa Tamisemi ila imebaki tu ngoma iachiwe
AiseeWalimu usaili wamesitishiwa
Mwaka wetu huu.Duh leo hatari...hii sio pdf ni li safina la nuhu...
Utawala2025 check uko
Mimi naona Wote wanalipoti kwa Wizara ya afya halfu yeye ndo atapanga majina upya.Wizara inasimamia Hospitali za mikoa na hospital za rufaa!!
Kwa iyo Tamisemi watachukuliwa umo umoMimi naona Wote wanalipoti kwa Wizara ya afya halfu yeye ndo atapanga majina upya.
Wizara ya Afya inasimamia hopitali za mikoa, za rufaa, na zile za taifa. Tamisemi wanasimamia hospitali za wilaya + vituo vya afya+ zahanati n.k Kwahiyo ni vitu viwili tofautiMimi naona Wote wanalipoti kwa Wizara ya afya halfu yeye ndo atapanga majina upya.
Ajira wazotoa mfano.Wizara ya Afya inasimamia hopitali za mikoa, za rufaa, na zile za taifa. Tamisemi wanasimamia hospitali za wilaya + vituo vya afya+ zahanati n.k Kwahiyo ni vitu viwili tofauti
Kuna nurses diploma mwingine ulitoka jana juzi nadhani wa 34 hivi wapo paleMwaka wetu huu.
Mimi diploma wanahitaji 1000+ mkeka wetu bado.
Degree walitaka 300 wamechukua 400.
Ila mimi wa nitakuwepo kwa imani
Basi wangeunganisha kwenye sehemu ya mwajiri kwa maneno ya muajiri wizara na tamisemi,pale wamemuandika wizara tu nadhani ni swala la muda kama alivyosema @ mwifaAjira wazotoa mfano.
NO nursing walihitaji 300 wamechukua 400.
Pharmacy Tech walihitaji 124 wamechukua 250+
Mwajiri ni Wizara ya afya sasa Hatuna uhakika ila unaonekana kuna kitu sisi wasaka ajira tusubiri maana Idadi walihitaji wamepitiliza si shida kwa hilo ila Kwa tamisemi kuzidi nao Watu wengi tuna wasiwasi na hilo.
Japo kada nyingi bado hawajatoa mikeka.
Mimi nichohisi utaripotu kwa wizara ya afya wao wata distribute kwenda sehemu zingine maana IdadI kubwa sana kwa wizara pekee wakati Tamisemi ndio unakuwa na uhitaji mkubwa.
Kada kama.
MD.CO,Ano,En,macho,physiotherapy Daktari bingwa bado
Sijatoboa kaka..wale wa jana...Kuna nurses diploma mwingine ulitoka jana juzi nadhani wa 34 hivi wapo pale
Ee subiri mkuu make uko tamisemi ndio uhitaji mkubwa mno.huenda wameamua watoe nafasi nyingi kwa pamojaSijatoboa kaka..wale wa jana...
Wale nurses si ni zaidi ya buku sasa hapo kuna mkeka unaweza kuja ndo uo wa tamisemiPdf inayokuja nikikosa.
Nitapotea jf na kufungua Acc mpya.