Kuna comment nimeiona kwenye uzi fulani naomba niipaste hapa;-
"Nitaka nitoe ufafanuzi juu ya ajira za afya zilizotoka juzi,,,,
Ajira hizi mwajiri wake ni wizara ya afya anayesimamia ajira za taasisi za serkali kama vile vyuo vikuu vilivyo na vituo vya afya, hospitali za mikoa, hospital za Kanda na hospital ya Taifa, majeshini nk
Kuhusu walioajiriwa
Maadam anayeratibu ni UTUMISHI kupitia ajira portal, yeyote aliyefaulu usahili anaajiriwa yoyote aliyefaulu usaili wa mahojiano.
Kama Kuna mtu alifanya usahili tarehe hizo tajwa na akafahulu , wizara ili omba watu hao kutoka kwenye data base ya UTUMISHI wakawapatia watu walionao.
Kuhusu hizi za Tamisemi ambazo ndo ni za watu wengi zaidi zitatoka hivi karibuni na mwajiri wake atakuwa ni mkoa husika yaan LGAS na MGAS kwo tuwe watulivu maana ajira za afya under Tamisemi zilizoratibiwa na sekretariet ya ajira
Wapo watu kama 10k + ambao tayari wameshapangiwa vituo na majina Yao yatatoka muda SI mrefu.
Nawasilisha."
Kwa mujibu wa maelezo haya, hizi ajira wanazotoa PSRS sio zile zilizotangazwa. Hizi ni additional posts baada ya Wizara ya Afya kupewa vibali vingine vya kuajiri na kuomba watumishi kutoka PSRS.
Hivyo, mlioomba zile posts ambazo waajiri ni mikoa, posts zenu bado, endeleeni kusubiri. Ikitokea hukupata kule ukapelekwa Wizarani , nayo imekaa vizuri.
Yote kwa yote, kama ni kweli serikali itaita watu wote kama trend inavyoonekana, huu mwaka watu wataingia wengi sana kwenye system.