Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na walikua wanahitaji watu wangapi?
Walihitajika 726,Jana ulichukua 45,Kuna wa tarehe 16 walichukua kama 6 kwenda wizara ya ulinzi na mmoja akapelekwa MOI,Leo 681.ukichukua 681 na 45 ina make total of 726,Tukiassume wale wengine wametoka database.
 
L
lile tangazo lilikuwa MDAs na LGAs na muajiri wake ni mkoa husika, sasa hizi tunaona muajiri ni wizara ya afya wakati nafasi ni kwa MDAs (wizara) na LGAs (Tamisemi)
 
Hahahahah wizara kaamua kumsaidia tamisemi kudistribute watu,may be
 
Hapa nimekuelewa lakini nimeona idadi wamefikia waliyotaka na wamezidi kwa waliohitaji na hapo wamepeleka MDA.

kwa upande wa LGA unajiuliza itakuaje?
Ulifuatilia vizuri pdf za kuitwa kwenye oral?

Ratio ilikuwa 1:3 kwa kila nafasi, hivyo kulikuwa na zaidi ya watu 2 kwa kila nafasi ambao lazima wangebaki Dabatase.

Hivyo basi hawa unaohisi wamezidi nafasi zilizotangazwa na Tamisemi, nina imani ndio wale waliokuwa wanaenda kukaa data base ila Wizara ikawa na uhitaji na ikapewa.

PDF la TAMISEMI litatoka tusubiri wamalizane na uchaguzi kwanza
 
Una
UNaweza kuta uhitaji ni mkubwa na wizara hizi mbili zimeamua kugawana watu, kwa iyo wizara na idara washaomba watu wao utumishi ..bado wimbi la tamisemi au unaweza kuta pdf lao liko tayar
 
Hiki ndicho ninachokisema sasa
 
Ina maana hapa kuna uwezekano hawa wanaoitwa na wizara ya afya walitakiwa kuwepo kanzi data au[emoji23]pengine wale waliofaulu ndo wako kwenye iyo pdf ya tamisemi ,narefer kwa mkuu @ Mwifa
Nishaeleza hilo swali lako, bina shaka umeona comment
 
Basi kama ni uongo matangazo yao hayajakaa sawa, kuanzia tangazo la kazi ambalo lilihusu MDAs na LGAs ,adi kufanya usahili.na hatimaye pdf ambazo zinaandika muajiri ni wizara ya afya (MDAs),swali je hawa LGAs waliohusishwa kwenye tangazo wako wapi??
Kufanya interview sio kuajiri watu wengi yaan ulichosema na unachosema sasa vimepishana
 
L

lile tangazo lilikuwa MDAs na LGAs na muajiri wake ni mkoa husika, sasa hizi tunaona muajiri ni wizara ya afya wakati nafasi ni kwa MDAs (wizara) na LGAs (Tamisemi)
Hamna shida sasa maana MDAs ndipo ilipo Wizara
 
Ina maana hapa kuna uwezekano hawa wanaoitwa na wizara ya afya walitakiwa kuwepo kanzi data au😂pengine wale waliofaulu ndo wako kwenye iyo pdf ya tamisemi ,narefer kwa mkuu @ Mwifa
Hakuna hio mtaajiriwa baada ya uchaguzi 2025
 
Nadhani mwaka huu wizara ataratibu shughuli za ajira kaka subiri tuone wataoenda kuchukua barua.

Sidhani kama kuna mkeka wa Tamisemi itakuja kutoka nje ya huu
 
Yeah hapa na mimi naanza kukupata ,kuna bro.alinieleza alikofanyia oral kabla ya kuingia walielezwa kuhusu ratio ya kila nafasi na yeye alikoenda walikuwa watu 10 na nafasi zilitakiwa 2 tu inamaana nafasj hizo mbili zilipiganiwa na watu 4 imean 1:4 na watu wawili wa extra kwa maana iyo walitakiwa wawe watu 6 lakini wakzidi na kama wengi wao walifaulu sidhani kama kuna watu wataachwa hususani kwa hzi taasis mbili wizara na tamisemi
 
Nadhani mwaka huu wizara ataratibu shughuli za ajira kaka subiri tuone wataoenda kuchukua barua.

Sidhani kama kuna mkeka wa Tamisemi itakuja kutoka nje ya huu
HIzi taasisi ni mbili tofauti kila mtu na muundo wake na uongozi wake, kwa iyo jenista muhagama akamfanyie kazi mchengerwa😂😂 afu ripoti itatolewa na muhagama au
 
Ina maana hapa kuna uwezekano hawa wanaoitwa na wizara ya afya walitakiwa kuwepo kanzi data au😂pengine wale waliofaulu ndo wako kwenye iyo pdf ya tamisemi ,narefer kwa mkuu @ Mwifa
Kwa mujibu wa maelezo, inaonekana kuwa wizara ya afya baada ya kuwa imepewa kibali cha kuajiri ikaona hakuna haja ya kutangaza ajira wakati kuna watu kibao kwenye database ya PSRS. Kwa hiyo ikaomba ipewe watu kutoka database. Kwa maana hiyo hao walioitwa ni kutoka database hadi waliowekwa database baada ya usaili wa kada ya afya hivi karibuni. Ina maana waliopangiwa post baada ya usahili wa afya bado hayajatangazwa!! Unaona mambo ya Mungu hayo!! Aliyeko database anamtangulia aliyepata placement, tena anapelekwa hospitali za rufaa, mikoa na taasisi!! Aliyepata placement ni wa halmashauri!
 
Vijana
Labda kama unatafuta kujifariji! Nilichosema nipo sahihi.

Hoja yako ya idadi ya kada husika na walizoitwa ni kitu ambacho wao sekritariati for years wamekua wakijitahidi kutolea maelezo.

Kunapotangazwa ajira, then ikatokea mwajiri mwingine ameleta kwao tangazo lenye uhitaji sawa, huwa hawatangazi kwa mara nyingine wanaendelea na tangazo lilotangazwa na kama kwenye data base hakuna match basi watachukua hao wa mwajiri wa pili kutoka ktk mchakato unaoendelea.

Wizara ya Afya na TAMISEMI ni waajiri wawili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…