Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ukweli utajulikana kwa watakaoenda kuchukua barua.
 
Pia kwenye kupanga ajira, anayepangiwa kwa mara ya kwanza ndo mwenye marks nyingi.

Haijalishi ulifanya usaili uliotangazwa na mwajiri yupi. Ila mwajiri mwenyewe atakuwa tayari kukamilisha taratibu za ajira ndo anayepewa ile first cream.
 
Bah
Basi mtaajiriwa 2035 umefurahi?
Bahati yako umejificha nyuma ya keyboard!! Jobless walivyosota kwa kusubiri halafu unawarushia pumba ungeonekana wangekugombania kama mpira wa kona!! anayetoka na jicho sawa, anayenyofoa pua sawa, ndani ya dk 1 ungetoweka! (I'm just joking, don't worry)!!
 
Kweli Mungu Fundi🙌🙌🙌🙌
 
Asante mkuu kwa maelezo yako, nadhani wewe ni mtu wa tatu kutulea maelezo hili swala akiwemo bwana Ze heby na Mwifa
 
Bila shaka naona maelezo yako, yamejitosheleza Sana ✍️
 
Asante mkuu kwa maelezo yako, nadhani wewe ni mtu wa tatu kutulea maelezo hili swala akiwemo bwana Ze heby na Mwifa
Mimi kwanza na amini yote myasemayo maana mimi mwenyewe jina langu liko kwenye msako msako wa pdf yote heri.

Ila jamani wiki ijayo migiro kutakuwa na mtafutano wa watu
 
Wizara ya Afya inasimamia hopitali za mikoa, za rufaa, na zile za taifa. Tamisemi wanasimamia hospitali za wilaya + vituo vya afya+ zahanati n.k Kwahiyo ni vitu viwili tofauti
Upo sahihi
 
Pia kwenye kupanga ajira, anayepangiwa kwa mara ya kwanza ndo mwenye marks nyingi.

Haijalishi ulifanya usaili uliotangazwa na mwajiri yupi. Ila mwajiri mwenyewe atakuwa tayari kukamilisha taratibu za ajira ndo anayepewa ile first cream.
Kwa iyo mwajiri aliyetoa tangazo kuhitaji watu wake ndo apate waliopata maksi ndogo afu aliyeomba apatatiwe kupitia mwajiri wa kwanza apate wenye maksi kubwa inawezekanaje😂😂
 
Kwa iyo mwajiri aliyetoa tangazo kuhitaji watu wake ndo apate waliopata maksi ndogo afu aliyeomba apatatiwe kupitia mwajiri wa kwanza apate wenye maksi kubwa inawezekanaje[emoji23][emoji23]
Changamoto ya Tamisemi mambo mengi muda yuko busy na uchaguzi mwenzake wizara hana muda anahitaji watu na mikeka yake itachelewa sana
 
Changamoto ya Tamisemi mambo mengi muda yuko busy na uchaguzi mwenzake wizara hana muda anahitaji watu na mikeka yake itachelewa sana
Hii ndo point mkuu, tamisemi yeye ana mambo kama yote mara uchaguzi, mara wapi uko kwa iyo mambo mengine anaweka pending kwanza amalizane na lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…