Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tamisemi wapo busy na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tukumbuke hili pia.

PDF lao litatoka tu wakimalizana na uchaguzi.
 
Hongera sana.

Najua unajua utaanza na TGHS B ambayo basic ni 758,000/= na itakua inapanda kadiri unavyoendelea.​
Kaka wewe unaiona ndogo hiyo.
Mimi uzuri nilikuwa mwajiri wa serikali sema nilikuwa nafanya mkataba na mshahara ni huo huo nilikuwa napokea.

Kikubwa check numbers mengine tutapambana nayo kwenye utumishi wa umma
 
Kumbe mema ya nchi ushayazoea๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ