Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi wanaratibu ajira zote za wizara, tamisemi na idara mbali mbali ,hivyo waajiri wanampa kazi utumishi ya kuchambua watu kwa sahili, kwa iyo ata za wizara zimepita uko, na ata tamisemi zimepita uko, ishu ni kuna wadau washasema inaonekana wizara walihitaji watu ndio wakachukuliwa hao, je vipi tamisemi ambao ndo tangazo lao lilibebana na MDAs na LGAs.labda kama ajira zipo kisiasa lakini tamisemi nao wanatakiwa kuajiri watu wao hizi ni taasis mbili tofaut.elewa
Tamisemi wapo busy na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tukumbuke hili pia.

PDF lao litatoka tu wakimalizana na uchaguzi.
 
Hongera sana.

Najua unajua utaanza na TGHS B ambayo basic ni 758,000/= na itakua inapanda kadiri unavyoendelea.​
Kaka wewe unaiona ndogo hiyo.
Mimi uzuri nilikuwa mwajiri wa serikali sema nilikuwa nafanya mkataba na mshahara ni huo huo nilikuwa napokea.

Kikubwa check numbers mengine tutapambana nayo kwenye utumishi wa umma
 
Kumbe mema ya nchi ushayazoea😁
 
Back
Top Bottom