Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sema nina suti yangu ya gray hiyo ndo itakuwa ya kufatia barua sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
hii nyingine ni ya mikando tuuu
Nigaie kikoti aseeh hii yangu imepauka nikiwa kwa mbali naonekana kama kimfuko cha nyanya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ